Hii nimeishuhudia leo Mlimani city katika mgahawa mmoja maarufu wa chakula, yaani kijana na nguvu zake inakuaje anakubali kununuliwa chakula na mwanamke ili hali angeweza kutumia nguvu na akili...
Wanawake wengi asilimia 80 ukiondoa K, hamna kitu kingine wanachoringia.
Hebu fikiria wanawake kadhaa ambao umedate, wengi utakuta siku atakayokwambia kuwa K yake imeziba ndo unambwaga hapo hapo...
Inakuwaje unaishi na mwanmke kwa miaka kadhaa inakuja kutokea sintofaham na mnafika kutengana kwa muda, anaolewa baada ya miaka kadhaa anakutafta anataka kurud kwako wakati ni mke wa mtu. Haya...
Hawana hapewi talaka,,, huu msemo nimeambiwa na hawala baada ya kupotezana miaka mingi sana. Akatafuta namba yangu Mnyabi akapiga akaniambiwa hawala hapewi talaka. Yaani nikagundua hakuna wivu kwa...
Wazee wetu wenye hekima walikwishasema, heshima ni kitu cha bure. Mazoea huondoa heshima ndani ya muda mfupi sana.
Nirejee kwenye mada kuu. Nasikia kwenye mitandao na mitaani kuwa, ni kawaida kwa...
Simu yake iliita kwa Bahati mbaya wakati wa ibada akiwa kanisani.
Mchungaji alimfokea.
Waumini walimzonga baada ya maombi ya ibada Wakati anarudi nyumbani, njia nzima mkewe aliendelea kumsema kwa...
Habari wakuu
Nilikua na girlfriend wangu na nilimpenda sana aisee sasa mwezi mmoja nyuma tuligombana na alilia na kuwa myonge sana but sikujali maana alikua anatabia ya kushindana na mimi sasa...
Wakuu kuna uhusiano gani, kati ya wenye nyumba ndogo kuwa na msongamano wa watu, na wenye nyumba kubwa kuwa na msongamano mdogo wa watu?
Unakuta nyumba kubwa ipo kwenye ekari moja, lakini...
Mkulungwa nimerudi tena, mpaka leo bado nipo tu home wife aliniombea ruhusa ya week 2, korodani zangu bado zinauma mno, yaani hata kuoga peke yangu siwezi.
Wife amekuwa akiniogesha hizi siku...
Jamani napenda mbegu za kiarusha
Mimi ni mtu wa Morogoro (Mluguru)short and beatiful. Young girl 23 years. Nipeni mbinu za kuwa na Muarusha au Moshi Boys ambaye ni Muislam wapo maeneo gani?
Nakubali mwili una mahitaji yake lakini akili pia ina mahitaji yake.
Mahitaji ya mwili most of the time huizidia akili na akili nayo kukubali kutawaliwa na mwili, hii ni kwa wengi wetu kama siyo...
Wakuu mko poa?Jumatatu inaendaje mimi niko poa sikwenda job leo maana nimeamka na hangover ya pombe kinoma noma jana nilikua nasakata rumba si unajua ujana maji ya moto? Ngoja nirukie kwenye sub...
Na hii imetokea kwa vijana wengi, wakiwa mikoani kelele ni nyingi sana mara watakwambia ukija mjini tutafutane angalau tubadilishe mawazo, mazingira, na tupeane fursa.
Sasa ukifika mjini...
Habari Ndugu,
naomba niende moja Kwa moja kwenye point.
Nimekuwa single Kwa muda mrefu Sana na nimejaribu kutafuta mahusiano Kwa muda mrefu kidogo(japo sijakazania saana) lakini naona kama sipati...
Wakuu Salaam;
Kila mmoja hupitia mambo kadhaa katika mahusiano na mojawapo ni hili la mahusiano kuvunjika kwasababu mbalimbali.
Binafsi Mpenzi wangu wa kwanza tuliachana kwasababu kadhaa baada...
Ubaya wa kitu upo katika macho ya mtu aliyeona ubaya huo.
Na uzuri wa kitu pia upo katika macho ya mtu aliyeona uzuri huo.
Kitendo cha kushindwa kutambua kwamba kila mtu yuko hapo alipo...
[emoji116][emoji116][emoji116]
Mdada wa kuoa, anatakiwa kuwa mshamba kiana......
Sio mdada anamjua mpaka Cheki Noris,Anord Shozniga,zarumendra...._
huna hata cha kumdanganya?...._
Inatakiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.