Bado hali yangu haipo vizuri, niombeeni

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Jul 14, 2021
3,979
5,295
Mkulungwa nimerudi tena, mpaka leo bado nipo tu home wife aliniombea ruhusa ya week 2, korodani zangu bado zinauma mno, yaani hata kuoga peke yangu siwezi.

Wife amekuwa akiniogesha hizi siku mbili tatu. Bado nachechemea, nina hasira naye bado. Mpaka watoto wanamuuliza mama yao kuwa kwa nini baba alikuwa analia? Nimeaibika mno.

Bado nafikiria nichukue hatua gani? Je, nikamsemee ukweni kwao Moshi huyu mke wangu? Au nimpe likizo?

Jana niligoma sex alikuwa anataka kunipa ila bado korodani zinauma japokuwa namudu kusimamisha vizuri(nashukuru Mungu kwa hilo)
Maoni yenu bado ni muhimu kwangu.

Kifupi bado sijatengamaa! Hiyo ndiyo hali yangu halisi kwa sasa.
 
Tafuta hii dawa hata nusu dozi mkuu uone kama itakusaidia kuondoa maumivu hayo.
Nakuomba umsamehe kama amekiri na kujutia alichokifanya, binadamu ni kuheshimiana na kusameheana. Msamehe ili kukwepa aibu kwa watoto, maana ukimrudisha kwao itaonekana picha mbaya kwa watoto, kaa nae ili mkubaliane na kusameheana. Usilipe ubaya kwa ubaya, hizo ndizo changamoto za ndoa.
Wengine tukianza kueleza tuliyopitia/tunayopitia utatuhurumia mkuu, jikaze mwanaume ni kukomaa na kutatua palipo na shida na kileta amani pasipo kuwa na amani.
Nakutakia kila lenye kheri na mshikamano mwema, na Mwenyezi Mungu akutangalie muishi kwa amani na furaha.
IMG-20210922-WA0001.jpg

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Tafuta hii dawa hata nusu dozi mkuu uone kama itakusaidia kuondoa maumivu hayo.
Nakuomba umsamehe kama amekiri na kujutia alichokifanya, binadamu ni kuheshimiana na kusameheana. Msamehe ili kukwepa aibu kwa watoto, maana ukimrudisha kwao itaonekana picha mbaya kwa watoto, kaa nae ili mkubaliane na kusameheana. Usilipe ubaya kwa ubaya, hizo ndizo changamoto za ndoa.
Wengine tukianza kueleza tuliyopitia/tunayopitia utatuhurumia mkuu, jikaze mwanaume ni kukomaa na kutatua palipo na shida na kileta amani pasipo kuwa na amani.
Nakutakia kila lenye kheri na mshikamano mwema, na Mwenyezi Mungu akutangalie muishi kwa amani na furaha.View attachment 1958414

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
Ahsante ila sidhani kama tatizo lako lilikuwa la aibu kama langu.
 
Yani wamekuminya korodani afu unatembea kwa kuchememea? Ukiumia mguu je?
Apo Cha kufanya tembea kwa kutanua miguu ..usitoneshe kidonda
 
Back
Top Bottom