The patriot man
JF-Expert Member
- Aug 16, 2015
- 1,124
- 1,459
Habari wakuu
Nilikua na girlfriend wangu na nilimpenda sana aisee sasa mwezi mmoja nyuma tuligombana na alilia na kuwa myonge sana but sikujali maana alikua anatabia ya kushindana na mimi sasa tokea siku hiyoo hapatikani tena kwenye simu daaah na nilikua na nampenda saaana. Sijui atakuja kunitafuta au ndo mazima?