Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Salaam Wana JF, Je kuwa kwenye Mahusiano na mtu aliyekuzidi umri sana ni hatari? Na kama ni hatari Jamii ifanye vipi kuepuka hili? Nawasilisha🙏
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Kumekuwa na tabia ya kubaguana katika kutafuta wapenzi; wapo wanaosema wanataka wapenzi wao mara wawe weusi, weupe, warefu, wanene, wenye chura, macho goroli, kiuno nyugwi, aliyejazia kifua n.k...
5 Reactions
74 Replies
5K Views
Huyu shemeji yenu anahangaika sana na dunia. Kuna sehemu aliacha kazi toka January, sasa kapata kazi nyingine mahala pengine tofauti. Nimemwambia sawa hiyo kazi ni nzuri ila nakuambia haya...
24 Reactions
134 Replies
10K Views
Habarini wana JF natumai muu wazima Kilichonifanya niwe hapa ni speed yangu katika mahusiano nimekua mtuu wakuharakisha mambo sana. Mfano naweza muomba mwanamke namba alafu halijapita lisaa...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Wakuu mmebarikiwa Sana na Mungu WA Mbinguni hakuna laana. Leo siku ya kumbukizi ya kifo cha Baba WA Taifa Mwl JK Nyerere. Sina cha kusema Ila Mungu Amuweke anapostahili. Kila mtu atavuna...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Jaman eeeh! Naombeni msaada kama kuna mtu anaweza kunitibu au kuna namna naweza tumia kuifanya mashine iwe kubwa Nimekuwa nikikosa radha ya mapenzi kwa kuwa na kibamia yaani nikiwazamisha inakuwa...
20 Reactions
195 Replies
31K Views
Habari za mchana wana MMU! Kufupisha stori hivi unaweza kuishi nyumba moja na mke/mme wako ambao wote ni wafanyakazi. Ikafikia wakati wote mmepata likizo lakini kila mmoja anaenda anakojua yeye...
16 Reactions
130 Replies
6K Views
Kuna tatizo kubwa sana kwenye ndoa sasa hivi kwani tatizo la wanandoa kutokuwa waaminifu ni kubwa mno. Unakuta Mume na Mke wote wanatoka nje ya ndoa. Mimi kama mwanamume nakiri kabisa tatizo kubwa...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari wana MMU je ni fanyaje kuna mdada humu ananivutia sema naogopa kumwambia naombeni ushauri wenu
2 Reactions
105 Replies
5K Views
Je hivi ndio vyakula vinavyoweza kuimarisha tendo la lako la ndoa? 12 Julai 2019 Imeboreshwa 25 Aprili 2021 CHANZO CHA PICHA, GETTY IMAGES Kama kungekuwa na ushahidi kwamba chakula cha aina moja...
3 Reactions
6 Replies
3K Views
Well, kabla sijakuwa mzee na kuokoteza busara kidogo here and there I was once young and perhaps a bit stupid. Kwa kutokuwa kwangu responsible (kama nilivyokuwa na-preach mchana 🙄🙄) I got...
65 Reactions
202 Replies
11K Views
Maisha ya mahusiano huwa yana siri kubwa unaweza kumuona mtu anacheka anafurahi akiwa na mpenzi wake lakini moyoni mwake ana maumivu makali yanayomfanya ajute kuwa na mahusiano na mpenzi aliyenaye...
2 Reactions
11 Replies
916 Views
Huyu ni mdada mzuri sana, ana umbo la kuvutia. Niliunganishiwa na mdada mwenzie ila kwa kua anatamaa alimdanganya kua mimi nina hela hivo akaingia king. Juzi nilimtafuna nkamuachia 30K...
21 Reactions
34 Replies
4K Views
Habari wanabodi wa MMU, Hivi ni kigezo gani wanaume wanakitumia kusema huyu mwanamke ni wife material?
4 Reactions
115 Replies
8K Views
WATOTO WANATUMIKA KINGONO! Inaumiza lakini ndio uhalisia! sio kitu kinapendeza machoni wala akili lakini ndio ukweli! Watoto wetu hawako salama! Hawako salama sio kwa watu tunaoamini sio salama...
38 Reactions
98 Replies
27K Views
  • Closed
Wazazi wenzangu na wanawake wote majumbani jamani tuwe makini sana na hizi channel za cartoon network wanazoangalia watoto wetu. Tunawaachia kujua kua ni cartoon kumbe wanayoona umo ndani ni...
8 Reactions
36 Replies
9K Views
Hellow Jf.member Nilikua na ukarb na binti m1 baada ya siku kadhaa nkarusha ndoano haikunasa, akadai yupo na mtu ambae wameshafikishana had kwa wazazi,nkamwambia a keep it na mungu awajalie...
2 Reactions
76 Replies
5K Views
Habari wana jamvi. Pamoja na kuachana na X wangu takribani miaka sita maneno yake yafuatayo na yakumbuka sana 1. Roho uliyokua nayo usidhani kila mtu anayo na itakurudisha nyuma sana. 2...
2 Reactions
149 Replies
61K Views
Msaada jamanI Nina mdogo wangu wa kike ana miaka 18 mwanzo nilikua naota wachawi wanakuja kumuiba nyumban nikawa nikawa namuokoa na kuna siku nilikua nimeenda nyumbani na tulilala wote usiku...
13 Reactions
141 Replies
11K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…