Unamfahamuje wife material?

Factors to consider when selecting raw materials:

1. Reputation: It’s important to select material from a reputable supplier that will be able to supply the materials every time. Suppliers should be audited to ensure they handle materials under sanitary conditions and have accurate records. It is preferable to perform on-site audits;

2. Identity: One requirement is demonstrating that the material used is indeed the material claimed. Identity tests range from organoleptic to very specific tests such as HPLC (high performance liquid chromatography) or IR Spectroscopy.

3. Purity: this confirms that the material is fit for consumption and is free of contaminants such as microbial contamination or excess heavy metals. Purity test methods are established by authorities such as USP or AOAC and may be modified to meet your requirements. Microbial contamination tests typically include total plate count, yeast and mold, Salmonella, E. coli and coliforms. Heavy metal tests typically include lead, cadmium, arsenic and mercury. Again, if you don't have an in-house laboratory then you are strongly adviced to send the samples to a third-party laboratory for testing.

4. Potency: When using a material that has a daily value (a vitamin or mineral) or claiming a component of a material (i.e., choline from choline bitartrate or ginsenosides from ginseng), it is necessary to ensure the material contains the correct amount of that component. Third-party lab testing can be used in this instance as well.

5. Composition: Set the specifications of the product and the individual raw materials early in the design process to ensure sourcing consistency. You must ensure the materials sourced meets the specification of the product you want to build.


6. Value: Products need to be consistent. While it may be more economical in the short term to select raw materials on price alone, a material that is a little more expensive but gives consistently high quality materials from the same supplier for every lot may be the better value in the long run.
 
Factors to consider when selecting raw materials:

1. Reputation: It’s important to select material from a reputable supplier that will be able to supply the materials every time. Suppliers should be audited to ensure they handle materials under sanitary conditions and have accurate records. It is preferable to perform on-site audits;

Duuuuh
 
Factors to consider when selecting raw materials:

1. Reputation: It’s important to select material from a reputable supplier that will be able to supply the materials every time. Suppliers should be .
Mkuu upo serious kweli😁😁😁😁
 
Habari wanabodi wa MMU hivi ni kigezo gani wanaume wanakitumia kusema huyu mwanamke ni wife material.

1. Kamwe usinyanyue sauti yako kwa mumeo kwa sababu yoyote ile. Hiyo ni ishara kuwa huna adabu na heshima. Pia niliwahi kufundisha hapa Ndoa Maridhawa kuwa radi haioteshi mazao yetu shambani licha ya kuwa na kelele na sauti kubwa, lakini mvua ambayo haina makelele huotesha mazao yetu shambani.

2. Usitangaze udhaifu wa mumeo kwa familia yako na marafiki zako. Linaweza kukuathiri wewe pia. Wewe ni mtunza siri wa mwenzako, na yeye ni mtunza siri wako.

3. Usitumie mihemko na hisia kali kuwasiliana na mumeo, hujui namna atakavyoitafsiri. Wanawake wenye mihemko iliyopitiliza hawawezi kuwa na ndoa yenye furaha.

4. Usimlinganishe mumeo na wanaume wengine, hujui undani wa maisha ya hao wengine. Ukiishambulia HADHI yake, upendo wake kwako utayeyuka.

5. Usiamiliane vibaya na marafiki wa mumeo kwa sababu tu huwapendi, mtu anayepaswa kuepukana nao ni mumeo.

6. Usisahay kuwa mumeo alikuoa wewe, hakumuoa huyo mfanyakazi wako wa ndani au mtu mwingine. Fanya kutekeleza majukumu yako.

7. Usimpe mtu mwingine jukumu la kumhudumia mumeo. Watu wengine wanaweza kufanya mambo mengine, lakini mumeo ni jukumu lako mwenyewe.

8. Usimshutumu na kumlaumu mumeo akija nyumbani bila kitu. Badala yake mpe hamasa na kumshajiisha.

9. Usiwe mke mbadhirifu, jasho la mumeo ni kitu ghali kabisa ambacho hakipaswi kutupwa hovyo.

10. Usijifanye kuwa unaumwa kwa lengo la kumnyima mumeo tendo la ndoa. Mpe anapotaka. Tendo la ndoa ni muhimu sana kwa wanaume, ni miongoni mwa MAHITAJI MAKUU 3 YA MWANAUME. Ukiendelea kumnyima haitachukua muda mrefu kabla mwanamke mwingine hajachukua jukumu hilo. Hakuna mwanaume anayeweza kuhimili vishindo vya ukame.

11. Usimjibu mumeo katika uchangiaji wa maoni ya mbele ya umma, muaje ajibu swali lililoelekeza kwake. Ni muhimu usimpinge hadharani mbele ya watu.

12. Usimfokee au kumpinga mumeo mbele ya watoto. Wanawake wenye hekma na busara hawafanyi hivyo.

13. Usishau kuangalia kama mumeo amependeza na amevaa vizuri kabla hajatoka.

14. Usiruhusu marafiki zako kuwa karibu mno na mumeo.

15. Usiwe na haraka unapokuwa bafuni na unapojipamba. Huko nje mumeo anakutana na wanawake ambao hutumia muda wa kutosha kujipamba.

16. Wazazi, ndugu an marafiki hawana uamuzi wa mwisho kwenye ndoa yako. Usipoteze muda kuwataka wakupe uamuzi wa mwisho.

17. Usijenge upendo wako kwenye pesa na vitu. Kwa sababu ukiwa na pesa nyingi kumzidi hutoweza kumtii na kumheshimu.

18. Usisahau kuwa mumeo anahitaji mtu wa kumakinika naye na mwenye kumsikiliza, usiwe bize sana kiasi cha kutomtilia maanani. Mawasiliano mazuri ndiyo msingi wa kila nyumba yenye furaha.

19. Kama wazo lako limefanya vizuri kuliko la kwake, usifanye ulinganisho wa kujilinganisha naye. Daima mnatakiwa kufanya kazi kama timu.

20. Usiwe mtu wa kumhukumu sana mumeo. Hakuna mwanaume anayempenda mwanamke msumbufu.

21. Mke mvivu huwa na tabia ya kupuuza. Hata hajui kuwa mwili wake unahitaji maji ya kuoga.

22. Je, mume anapenda aina ya chakula unachopika? Jaribu kubadilisha mapishi. Hakuna mwanaume anayefanya mzaha kwenye suala la chakula.

23. Usiwe mtaka makuu kwa mumeo, furahia kila muda na kila kinachopatikana.

24. Ifanye glasi ya maji kuwa ukaribisho nambari 1 kwa mumeo na kila mgeni anayekuja nyumbani kwenu. Mwenendo mzuri ndio urembo wa kweli.

25. Usisuhubiane na wanawake ambao wana mtazamo wa kimakosa kuhusu ndoa.

26. Ndoa yako itakuwa na thamani kadiri unavyoipa thamani. Uzembe haukubaliki.

27. Watoto wako ni baraka kubwa kutoka kwa Mungu, wapende na uwape malezi mazuri.

28. Endelea kutengeneza ushawishi wako ndani ya nyumba yako hata kama una muda mrefu katika ndoa. Usipunguze mapenzi yako kwa familia yako kwa sababu yoyote ile.

30. Mke anayefanya ibada anakuwa amejiimarisha vizuri. Daima muombee mumeo na familia yenu.
 
Back
Top Bottom