Kama kuna mtu aliwahi kukutana na mkasa wa hivi, tuambie

Jstar1

JF-Expert Member
Aug 1, 2019
1,389
1,337
Huyu ni mdada mzuri sana, ana umbo la kuvutia.

Niliunganishiwa na mdada mwenzie ila kwa kua anatamaa alimdanganya kua mimi nina hela hivo akaingia king.

Juzi nilimtafuna nkamuachia 30K, sasa jana kanipiga kiznga nadhani stakuha kupigwa kizinga cha hivi.

kama kuna mtu aliwai kukutana na mkasa wa hivi ashuke chini.
IMG_5754.jpg
 
Huyi sio mwanamke unaomba 2.5m kwel!? aache utan emb niungnshe naye nimpe bk2500 labda hyo alkosea
 
Huyu ni mdada mzuri sana, ana umbo la kuvutia.

Niliunganishiwa na mdada mwenzie ila kwa kua anatamaa alimdanganya kua mimi nina hela hivo akaingia king.

Juzi nilimtafuna nkamuachia 30K, sasa jana kanipiga kiznga nadhani stakuha kupigwa kizinga cha hivi.

kama kuna mtu aliwai kukutana na mkasa wa hivi ashuke chini.View attachment 1969285
Sasa si kaishajua kuwa ni wewe kwa kupost sms yake?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Huyu ni mdada mzuri sana, ana umbo la kuvutia.

Niliunganishiwa na mdada mwenzie ila kwa kua anatamaa alimdanganya kua mimi nina hela hivo akaingia king.

Juzi nilimtafuna nkamuachia 30K, sasa jana kanipiga kiznga nadhani stakuha kupigwa kizinga cha hivi.

kama kuna mtu aliwai kukutana na mkasa wa hivi ashuke chini.View attachment 1969285
Anataka akanunue iphoni
 
STUKA!!!

Similar Discussions

Back
Top Bottom