Nahitaji ushauri kwa mabaharia wazoefu katika hii sekta

Ritchy Breezy

JF-Expert Member
Dec 9, 2020
391
579
Hellow Jf.member

Nilikua na ukarb na binti m1 baada ya siku kadhaa nkarusha ndoano haikunasa, akadai yupo na mtu ambae wameshafikishana had kwa wazazi,nkamwambia a keep it na mungu awajalie mahusian yao yadumu, tkaw t na urafiki wa kawaida baad ya miezi kama miwili hv akantafta aktaka tuonane.

Nilikuw busy kdogo kwa ajili ya maandalz ya UE[ZIMA MOTO FC]ko sikuweza pata nafasi hadi tnamaliza mitihani ndo nkampa muda wa kuonana nami tlipanga tuonane nae mapema but ad sa2 manzi ananpanga yupo maeneo na nsjar tutaonana,sa3.ndo tkaktana nkatafta maeneo tliv tlienda lodge flan iv but skuchkua chumb si mtumiaj wa pombe hvyo nliagza juice..

Salamu za hapa na pale then akaanza kunpa matatizo alonayo kwny mahusiano yake huku akilia sana,doh nlimuonea huruma nliwaza tngelala hapo siku hyo ila nlighairi ktokana na hali alokua nao so nkaamua kmtlza na kumuacha aende kwake akapumzkee,kwa kpnd hko tyr nlikua na manzi tna ambae alikua na ujauzto wangu namshukur mungu kanletea dume asee.Story inaendlea,natmia goroka
 
Basi bwana nilimshaur then nkalpa tkaondk tkatembea kdog then akachkua boda mida ya sa6 usiku akaenda gheto kwake..sema kweli ni pisi ya maana mno na ni pisi inayojua kujstiri mno nguo au mavazi yake si yakuonesha maungo ila sura ake sa huwez choka mwangalia..n bint mzur na weng san wanamtaka apa chuon ad malecturer tuendlee..

likzo ilfk tkawa tnawasliana kawaid ila mhuni nkaona ka nachelew nkaamua tna kuomb tunda dah nliambiw ntajibiwa akija kusawazisha vimeo vya chuo namm nna kimeo ndo mana kasema hvyo kwamb nsiwe na wasiwasi akija ntapata jibu zur bs nkatlia siku ka tatu zmepta nliomb kupewa jibu langu akantolea nje mhuni nliumia sana sema kweli..

nlikata tamaa..kabsa! Ila leo kantext katk kchat salam then nkamwambia naumwa akanpa poule na akaniambia anatak aje kwani au nina watu apa gheto kwangu nsje..nkawambia npo mwnyew akaniulz,aje sangp kamwambia muda atakao kua free aje hakuna shda..sa apa nawaza akija nfanye umafia au npotezee t
ushauri kwenu..asanteni.
 
Hellow Jf.member
nilikua na ukarb na binti m1 baada ya siku kadhaa nkarusha ndoano haikunasa, akadai yupo na mtu ambae wameshafikishana had kwa wazazi,nkamwambia a keep it na mungu awajalie mahusian yao yadumu,tkaw t na urafiki wa kawaida baad ya miezi kama miwili hv akantafta aktaka tuonane nlikuw busy kdogo kwa ajili ya maandalz ya UE[ZIMA MOTO FC]ko sikuweza pata nafasi hadi tnamaliza mitihani ndo nkampa muda wa kuonana nami tlipanga tuonane nae mapema but ad sa2 manzi ananpanga yupo maeneo na nsjar tutaonana,sa3.ndo tkaktana nkatafta maeneo tliv tlienda lodge flan iv but skuchkua chumb si mtumiaj wa pombe hvyo nliagza juice..salamu za hapa na pale then akaanza kunpa matatizo alonayo kwny mahusiano yake huku akilia sana,doh nlimuonea huruma nliwaza tngelala hapo siku hyo ila nlighairi ktokana na hali alokua nao so nkaamua kmtlza na kumuacha aende kwake akapumzkee,kwa kpnd hko tyr nlikua na manzi tna ambae alikua na ujauzto wangu namshukur mungu kanletea dume asee...naendlea,natmia goroka
tapatalk_-301953336.jpg
 
Back
Top Bottom