Wazazi tuwe makini na channel za cartoon network wanazoangalia watoto wetu

Status
Not open for further replies.

Shunie

JF-Expert Member
Aug 14, 2016
153,009
453,902
Wazazi wenzangu na wanawake wote majumbani jamani tuwe makini sana na hizi channel za cartoon network wanazoangalia watoto wetu.

Tunawaachia kujua kua ni cartoon kumbe wanayoona umo ndani ni makubwa kuliko tunavyotegemea na wakajifundishia humo.

Leo hii asubuhi nimepata mda wa kuangalia hiyo channel nakukuta haya katika hiyo picha hapo chini jamani.

Nimecopy sehemu tuwe makini sana na watoto wetu jamani.


====
MULTICHOICE walikanusha kurusha picha hizo kwenye vipindi vyao
1.jpg
 
Ninejaribu kufungua hiyo picha haifunguki. Ila nakubaliana na wewe hizi cartoon zina mambo ya kikubwa. Unakuta vitoto vidogo vina boy friend na girl friend na ku kiss/ smooch kwa sana.
 
Mungu nisaidie niweze ku control hizi TV, means kuangalia iwe naangalia na watoto wakiwemo ili kutambua kipi kinastahili na kipi hakistahili

sent from my Tecno W3
 
Hiyo picha aliiona mwanangu wa miaka miwili unusu, akaniambia mama huyu hajavaa chupi
 
Shunie,
Afadhali umeiweka hapa kukumbusha watu coz mimi nilishawahi kusikia hata zile CD za cartoon ni majanga. Ndugu zetu hawa wanatumia mbinu nyingi kuhakikisha kwamba wanaharibu utamaduni wetu kwa nguvu zote.
 
Duh! Cartoon Network ndio wamevurugwa hivyo

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom