Kuna tatizo kubwa sana kwenye ndoa sasa hivi, kwani tatizo la wanandoa kutokuwa waaminifu ni kubwa mno

Nduka Original

JF-Expert Member
Nov 6, 2010
1,012
816
Kuna tatizo kubwa sana kwenye ndoa sasa hivi kwani tatizo la wanandoa kutokuwa waaminifu ni kubwa mno. Unakuta Mume na Mke wote wanatoka nje ya ndoa. Mimi kama mwanamume nakiri kabisa tatizo kubwa lina anzia kwa wanaume kwa factors nyingi ila mimi nitaomba tujadili factor moja tu na ndo maana hii mada nikaiweka hapa jukwaani.

1. Wanaume kutowarizisha wake zao - Ukweli ni kwamba wanaume wengi hawapigi mzigo nyumbani either sababu ya kuchepuka sana nje, majukumu, ulevi au upungufu wa nguvu za kiume ambalo nalo ni tatizo kubwa sana sasa hivi.

Mimi nimeshatembea na wake za watu karibia kumi hivi na wote sababu kubwa anasema mumewe hamtii au hamrizishi. Wengine unakuta wana miaka mitatu tu ya ndoa lakini tayari shemeji analalamika kutorizishwa na mumewe.

Hili janga ni kubwa sana na ndio maana wamama wengi especially 35 and above wanatoka sana nje ya ndoa.

Sasa wanaume lazima tujirekebishe inatakiwa tuwagonge hawa wamama na kama tatizo ni nguvu za kiume basi Ma Dakrati watusaidie.
 
Ni kweli kabisa mzima anaweza kumzaa mwendawazimu.

Hiki si kizazi bora cha kuigwa kila siku inayopita tunazidi kukubali kuwa ya kale ni dhahabu.

Kubwa zima linajisifia uwendawazimu wa bakari kichwa wake!
 
Kama suala ni upungufu wa nguvu za kiume, ninayo suggestions kutokana na uzoefu wangu.
1.Kuwa mtu wa mazoezi sana ,sio lazima unyajue chuma. Kukimbia kimbia walau saa moja au dakika 45 sio mbaya huku ukifanya na mazoezi ya viungo kama vile yoga.

2.Tumia tangawizi, kitunguu swaumu. Hizo zimekuwa tiba zangu za mara kwa mara pale napojiona nimekuwa vibaya kuliko mwanzo.
Wataalamu watatuleza zinafaida gana haswa kisayansi. Jipatie punje kadhaa za kitunguu swaumu meza na maji tafuna tangawizi.

3.Achana na mawazo yasio ya lazima ,jichanganye na watu ikibidi.
Mie nlikuwa nikitoka kibaruani naendeaa kupiga jalamba na madogo uwanjani.

4.Kula vizuri ikiwa pamoja na kunywa maji mengi.
Maji yanafaida sana mwilini kama wataalamu wanavoshauri mtu aweze kunywa maji yakutosha asubuhi aamkapo. Kula vizuri matunda,samaki,Dona na mbogamboga plus karanga na mihogo

Kuhusu hizo factors zingine ni mtu mwenyewe ,kweli binadamu tumejawa tamaa hata ukiwa na kizuri vipi bado utatolea jicho kingine ,kwahiyo ni jambo la kushindwa kuzuia tamaa zako mwenyewe.
 
Hakuna mwanandoa anayetoka nje ya ndoa yake hasa mwanamke aache kukuambia mumewe hamridhishi. Wadhani atakuambia anatafuta pesa ili umkimbie? Vyovyote vile lazima akueleze sababu hiyo maana anajua kwako ndo hitaji lako! Ni psychology ndogo sana kulitambua hilo.
 
Hakika mwanamke anayejielewa atamuheshimu mmewe hata kama anamapungufu kiasi gani ila mwanamke asiyejielewa lazima akagongwe nje tu hata kama anaridhishwa na mme wake. Siku zote tabia ya mtu huwezi ibadili ikawa ngozi
 
Haya mambo yalikuwepo toka wakati huo kaeni nawazee muwaulize tofauti nimfumo wataarifa kutoka eneo moja kwenda jingine unasema umetembea nawake zawatu kumi kwani walikushikia panga
 
Wanakudanganya tu hao we jombi. Hata umridhishe vipi malaya atatoka tu nje na akienda nje unataka aseme umalaya unamuwasha au anatafuta hela? Lazima atasingizia mume kutomridhisha.

Kwani unadhani wanaume wanaotoka nje huku wanawake zao hawana tatizo huwa hawasemi kunyimwa unyumba?
 
Kuna tatizo kubwa sana kwenye ndoa sasa hivi kwani tatizo la wanandoa kutokuwa waaminifu ni kubwa mno. Unakuta Mume na Mke wote wanatoka nje ya ndoa. Mimi kama mwanamume nakiri kabisa tatizo kubwa lina anzia kwa wanaume kwa factors nyingi ila mimi nitaomba tujadili factor moja tu na ndo maana hii mada nikaiweka hapa jukwaa la Daktari.
Usiendekeze wanawake mzee wala usiwaamini wake za watu wote wanaotoka nje ukiwauliza hilo ndo huwa jibu lao ili uwaonee huruma na ujione kidume unawaridhisha ila hamna kitu wengine unakuta umalaya ndo asili yao
 
Issue ni tamaa tu za mwili na kukosa maadili kwa pande zote mbili, me na ke. Aidha, mitandao ya kijamii ndiyo ina fanikisha kwa urahisi huo ushetani. Mungu aturehemu.
 
Ninachoweza kusema tu mungu atuhurumie ila ukumbuke mwanamke hata umpatie nini atachepuka tu pia nikushauri kitu hakuna mwanaume mwenye upungufu wa nguvu za kiume ninakuhakikishia baada ya kusoma vitabu mbali mbali nikagundua kila mwanaume ana sehemu yake anapofiti sasa kujuwa nafasi yako hapo ndipo kazi kama ilivyo urefu wa vidole si kila kidole kinalingana na chenzake ndivyo yalivyo maumbile ya mwanaume na mwanamke.

acha kupotosha watu kuhusu nguvu za kiume na kuchepuka. leo hii kuna watu wana pesa lakini wake zao wanachepuka, leo hii kuna wanajeshi ambao miili yao ipo vizuri kila wakati lakini wake zao ndio wanaongoza kuchepuka , yapo mambo mengi nimeyashuhudia. Kumbuka kuchepuka kwa mwanaume chanzo chake ni mwanamke,
 
Hakuna mwanandoa anayetoka nje ya ndoa yake hasa mwanamke aache kukuambia mumewe hamridhishi. Wadhani atakuambia anatafuta pesa ili umkimbie? Vyovyote vile lazima akueleze sababu hiyo maana anajua kwako ndo hitaji lako! Ni psychology ndogo sana kulitambua hilo.


Hapo kwenye kutafuta pesa hapo;

Ni Kweli wengi ni tamaa ya kutafuta pesa lakini pia wapo wanawake ambao wanachepuka bila takwa la pesa ijapokuwa kundi hili ni wachache sana lakini hakika wapo.

Hawa ni wale ambao wametendwa na waume zao matharani wamegundua waume zao wamezaa nje ya ndoa, wanahudumia michepuko kama mitala yao, Mwanaume anatumika sana nje akirudi kwa mkewe kachoka, hao wa kundi hilo hawachepuki sababu ya kutafuta pesa.

Tena kwa taarifa ni kuwa mwanamke kama anauwezo wa kifedha huwa radhi hata kumpa Mwanaume wake mchepuko though sishauri hivyo!
 
Tunaexaggrate tu mambo, hayo mambo yapo tangu enzi za mwalimu, ni vile tu hakukua na mitandao ya kijamii kuyaweka wazi kama ilivo sasa.....
Hakika umenena...

Media sasa hivi ndiyo zinaeneza sana propoganda na kuonekana kuna matatizo kumbe hakuna chochote...
 
Back
Top Bottom