Maneno gani mazuri ya X wako unayokumbuka?

Maneno gani mazuri ya X wako unayokumbuka?

hyunhah

Member
Joined
Jan 25, 2020
Posts
63
Reaction score
63
Habari wana jamvi.

Pamoja na kuachana na X wangu takribani miaka sita maneno yake yafuatayo na yakumbuka sana

1. Roho uliyokua nayo usidhani kila mtu anayo na itakurudisha nyuma sana.
2. Utakuja kuwa mcha Mungu sana then utakufa

cc, Mshanajr naomba muongozo kiroho kwny kauli hizo mbili.
 
Back
Top Bottom