Habari wakuu
Wakati nipo form Six, nilikuwa najichua sana(punyeto) kiasi kwamba ilikuwa haipiti siku sijapiga puli, aisee sikujua Kama najiua, nilivyomaliza tu nikaenda nyumbani, nikakutana na...
habarini wadau na washauri wazuri wa jf
hivi majuzi nilikuwa na uzi wa kuacha ni kweli nimechwa
nimejua hilo na nimeona anamtuu mpyaa kabisaa tena kijana mdogo sana
iwamesoma nae chuo mkoa x...
Wengine huita 'mood swing'
Kwa watu wazima wote nadhani tayari tuna uzoefu wa kuishi Wawili chini ya paa moja kwa muda, kama wenza, Mke na Mume, huku wote mmekutana mkiwa na historia tofauti za...
Wazee wameachwa katika mazingira magumu huko vijijini, unakuta mzee mpaka mgongo umepinda analima shamba kubwa kwa jembe la mkono, anachunga mifugo, anapasua magogo ya kuni n.k Ukiwauliza kuhusu...
Habari zenu wakuu niende kwenye mada moja kwa moja siku mbili zilizopita ikiwa nipo bandarini mida ya saa tatu usiku baada ya kupakia mizigo kwenye ikiwa nasubiria maji ya usiku ili nisafiri...
Hii kauli nimeisikia jana akilalama mama mmoja katika mazungumzo na wenzie kibarazani. Anadai ametunza mtoto peke yake kwa mahangaiko makubwa, kamsomesha kwa tabu kwa pesa za kuokoteza kwenye...
Habari wana MMU,
Ni tumaini langu kuwa mko poa sana, ngoja niende kwenye kiini cha uzi kama tittle inavyouliza.
Binafsi ni mtu wa pilikapilika na movement za hapa na pale maeneo ya ma bar na...
Habari zenu za Mei Mosi na Tunaendelea kupambana na kuchukua Tahadhari Juu ya Corona.
Kwa niaba ya wanawake wote wa JF hasa huku MMU tunaomba mtuulize swali lolote kwenye huu uzi na tutawajibu...
Baba yangu hamtaki mke wangu naomba pita hapa unipe ushauri.Ilikua ni mwaka wa 2020 ndo Kwanza natimiza umri wa miaka 21 wakati huo nikiwa Geita nikipambana na maisha, nilipokea simu kutoka Kwa...
Habari wapendwa?
Mfano, wewe na aliyekuwa mpenzi wako mmeachana, lakini cha ajabu huyo ex wako anakuwekea mashushushu(FBI) wakufuatilie nyendo zako, inakua na maana gani hii wakuu?
Kama umemkamata mwanamke wako ana mapichapicha akaanza kutoa chozi na kulia isiwe kigezo cha kusamehe.
Mwanamke hata akitoa machozi jaba zima ni namna yao ya kuku"fool mwanaume umuonee huruma...
For many couples, falling in love is a pleasant and romantic experience they may enjoy together. Some couples engage in sexual activity solely for the purpose of having children, while others...
Guys nimepata safari, next week naelekea Msumbiji katika moja ya utimizaji wa majukumu yangu kikazi.
Sasa nasikia kuna machotara hao wa kireno, naweza kuwapata angle gani pale Maputo? Nilihitaji...
Eid mubarak wana JF!
Ni hivi, assume kuna mwanaume ulivutiwa nae sana muda mrefu mpaka ukatamani kuwa nae kimahusiano ila yeye hakukupa attention kiiivo kama unavotaka iwe kwa sababu zake...
Mimi ni mwanaume niliejaaliwa kuwa na watoto wawili wakike na wa kiume na mke wangu nimemuoa miaka kumi iliyopita huko mkoani iringa, shughuli zangu ni fundi seremala katika hizi kampuni za ujenzi...
Mwanaume usijivunge kuchepika huenda mkeo alisha chepuka na roho ya karma inataka kumjibu. Maana malipo ya dhambi ni hapahapa duniani.
Ukiona roho imefura juu ya kuchepuka wala usijiulize mara...
Wadau nawasalimu,
Kuna mgogoro wa kifamilia unafukuta nyumbani kwangu,
Ni kwamba kuna kaka yangu ambae alipata matatizo na yupo jela sasa takribani mwaka wa pili akitumikia kifungo cha miaka...
"USITUMIE USALITI KAMA SULUHISHO"
Elewa tabia za kudanganywa na mpenzi wako. Watu hudanganya kwa sababu nyingi na sio kila wakati kuhusu ngono.
Wakati mwingine watu hudanganya (usaliti) kwa...
Yamenikuta kijana mwenzenu!mwaka jana mwezi October nilianza kudate rasmi na binti mmoja hv,mwanzo nilikuwa namuona wa kawaida tu ila siku zilivyozidi kwenda nikaangukia kwenye mahaba Niue,kwa...
Kuna mpenzi wangu tulikuwa pamoja. Anakuwaga na tabia ya kununa nambembeleza anarudi kawaida.
Sasa Jumapili alikuja kwangu akanitunuku vizuri tu. Sema Kuna kitu kidogo nilifanya akakereka...