Wanawake nini kusudio lenu mnapofanya hivi?

Dola Iddy Wa Chelsea

JF-Expert Member
Sep 26, 2014
2,114
1,485
Habari wana MMU,

Ni tumaini langu kuwa mko poa sana, ngoja niende kwenye kiini cha uzi kama tittle inavyouliza.

Binafsi ni mtu wa pilikapilika na movement za hapa na pale maeneo ya ma bar na kumbi za muziki.

Katika mizunguko yangu nilipata kushuhudia zaidi ya mara 5 mwanamke kumpapasa hadharani mwanaume kunako mkongo bila hata aibu au kuomba aliguse kabisa tena mbele ya umati bila hiyana.

Sasa swali langu kwenu wanawake ni jambo gani au kitu gani huwa mnatafuta au kusudio lenu ni nini haswa mnapofanya hivi?

TAMATI.
 
Habari wana mmu,
Ni tumaini langu kuwa mko poa sana ,
Ngoja niende kwenye kiini cha uzi kama tittle inavyouliza,
Hivi unapata wapi muda kuangalia matendo ya walevi Bar?? Jifunze kumind your own business na utaona hayo maswali hutakua nayo tena!
 
Kwenye BAR na KUMBI ZA MUZIKI hayo mambo ni mapya kweli?.

KILEO kinapokwisha kolea tayari nini hufuata !?

MVINYO hauchagui jinsia.
 
Washikane wao uteseke ungeshikwa wewe si ungeua mtu wewe,, we tulia hapohapi na u pastor wako, maisha yenyewe unachotaka hukipati unapata usichokiwazia.
 
Back
Top Bottom