Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Story inaanzia hapa. Nimeingia kwenye basi nina begi langu la mgongoni nimeshikilia risiti mkononi natafuta seat yangu. Nakutana na seat mbili zipo wazi moja ni yangu nikakaa seat ya dirishani...
10 Reactions
46 Replies
4K Views
Wakuu hopefully amjambo ngoja niende kwenye point .. Nina Kaka yangu ambae ndie first born wafamilia .. nashindwa kumuelewa kabisa .. kila Ela yangu ikipitia mkononi mwake hua airudi Ni Mara kwa...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Yes she is gift, You only see her natural glowing skin on her hands Her voice of compassion, smooth like an Arabian serin. Its very enough to judge if she is so much beutfull, by simply looking...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
Nisipoteze muda. Wanaume wanaongoza kwa kuwa na stamina kubwa kitandani na kuridhisha wapenzi wao wapo sita. Unaweza kuongeza wa kwako. Wanaume hao ni 1. Makuli/Wapagazi: Demu wako au mkeo...
17 Reactions
170 Replies
24K Views
Ni miezi kadhaa tumekuwa na mahusiano. Ni kweli kwamba nilimkuta na vimeo vingi sana ila aliniahidi kuacha lakini tulipokuja swala la kupima alikuwa akiitikia tu na kutumia kila namna tuhairishe...
4 Reactions
83 Replies
12K Views
1. KILA UNAEMUOA AU KUOLEWA NAE ANA UDHAIFU WAKE Mungu pekee ndio haana udhaifu, Kila ua waridi lina chimbuko lake. 2. KILA UNAEMUOA AU KUOLEWA NAE ANA HISTORIA YAKE MBAYA Hakuna mtu ambae ni...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
How many times has a man examined you from head to toe? I'm pretty sure you stopped counting by now! While the male gaze sweeping across your body may seem very creepy to you (unless...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hi JF members, Mimi ni mvulana nipo mwaka wa mwisho moja ya vyuo vikuu hapa Tz. Nilipokuwa 4m 5 na 6 nilikuwa na mchumba ambaye nilimpenda sana naye alinipenda. Nilipokuwa chuo mwaka wa kwanza...
0 Reactions
63 Replies
8K Views
Wakuu naomba tusaidiane. Unawezaje kufikisha ujumbe kwa mapenzi wako au mkeo kuwa hakulidhishi? Je, ni sahii kumwambia direct au Kuna njia ya kufikisha ujumbe huu kwa wepesi? Je, ni sahii...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Mfano una mke mmeishi nae kwa pamoja na kuvuna Mali kwa pamoja ghafla wewe umetoka kwa safarI siku unarudi unakuta ndanI peupe yaanI kila kitu kimechukuliwa na mke na kutokomea kusikojulikana...
4 Reactions
66 Replies
6K Views
Salams Wana JF wenzangu! Kama mnavyo jua changamoto za maisha zimetufanya tuwe mbali na familia zetu, hivyo yanapo kuja mambo muhimu ambayo yanahitaji usaidizi wa kifamilia imekuwa shida sana kwa...
5 Reactions
78 Replies
205K Views
Katika semina wanazopeana wanawake huwa na msemo huu, ya kuwa mwanaume ni kama mtoto wakiwa na maana ya kwamba ili umuweze mwanaume inakubidi uishi naye kama unaishi na mtoto yani mambo ya...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Hizi ni baadhi ya dalili zinazoashiria mpezi wako wa kike anataka penzi:- Ukimuuliza swali anakujibu kwa lugha ya ukali Akianza kukusemesha yeye ataongea kwa taratibu bila kujiamini Anaweza...
4 Reactions
26 Replies
4K Views
Katika maisha ya Mwanaume, hasa chini ya 35, Sex ni symbol yenye uzito mno. Hata akiwa fukara atapata ahueni kama anazo nguvu za kiume. Mwanaume akiwa na umbile dogo hata confidence inashuka...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kondomu ni kifaa/ zana iliyotengenezwa mahususi kuvalisha uume au kuwekwa ukeni wakati wa kujamiiana.Nazo hubana kutokana na umbile la uume au uke. Kondomu hizi zipo za aina tofauti kutokana na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari zenu jamii forum. hivi huyo uliye naye Akikukosea anakuomba msamaha au ndo wale wa "fikiria vile unaona"?[emoji23][emoji23][emoji23]
0 Reactions
3 Replies
661 Views
Nipo njia panda,single maza nmempenda sana na ana sifa zote za kuitwa mwanamke!! Kikwazo ni ndugu wamenambia nioe kwingne ambae hana mtoto!!!! NB.Single maza kashanzalia mtoto mmoja wadau...
1 Reactions
62 Replies
7K Views
Ukiona kazi nyingi za nyumbani zinafanywa na beki tatu (mfanyakazi wa ndani) kama kukufulia nguo, kuzipiga pasi nguo zako, kufanya usafi wa nyumba, kukupikia chakula, kukupokea unapotoka katika...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Hii imetokana na kuwepo kwa changamoto zaidi kwenye mahusiano; mwanamke amekuwa akimtenda mwanaume, na wakati mwingine mwanaume hivyo hivyo amekuwa akimtenda mwanamke. Wakati mwingine, mwanaume...
3 Reactions
17 Replies
6K Views
Ni dada yangu wa tumbo moja. Baada ya muda mrefu huku miaka ya kuplewa ikiwa ukingoni, alipata bahati ya kuolewa na kijana msataarabu kabisa, hakika ilikuwa kama muujiza ila dada akakimbia huku...
19 Reactions
105 Replies
10K Views
Back
Top Bottom