Mapenzi hayana bingwa

Mapenzi hayana bingwa

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,101
Yamenikuta kijana mwenzenu!mwaka jana mwezi October nilianza kudate rasmi na binti mmoja hv,mwanzo nilikuwa namuona wa kawaida tu ila siku zilivyozidi kwenda nikaangukia kwenye mahaba Niue,kwa wiki naletewa mbunye mara 5 hadi 6,ss kilichonifanya niandike Uzi huu kuanzia tarehe 2 mwezi huu hadi Leo sijapewa papuchi na sababu za uongo na kweli,so najikuta nimekuwa mpweke kuliko maelezo na nilishazoea zile amsha amsha na sio hivyo tu nahisi kama taa ya njano imewaka kwenye mahusiano yetu!
Japo nampenda sana lkn kabla taa nyekundu haijawaka nataka nianze kumove on taratibu kwa kutafuta mbadala wake,maana nikimuacha kisha nikawa single nitaumia maradufu
H

Sent by Diaspora
 
Mrejesho!
Samahani kwa usumbufu wakuu!ile namalizia kuandika thread hii na mtoto akawa amefika ghetto tayari kwa mgegedo!ss hv nanihisi mwepesiiii

Sent by Diaspora
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom