Mwanaume ukiona roho ya kuchepuka imekutawala chepuka tu usiogope

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
3,465
8,277
Mwanaume usijivunge kuchepika huenda mkeo alisha chepuka na roho ya karma inataka kumjibu. Maana malipo ya dhambi ni hapahapa duniani.

Ukiona roho imefura juu ya kuchepuka wala usijiulize mara mbili hiyo ni roho ya kisasi inataka kumfundisha mtu adabu so usisite kumfundisha mtu adabu.

Uzi tayari
 
Hakuna kosa lililowai kufutwa kwa kutenda kosa lingine.
Hakuna raha kama kuishi kwa imani na always jiamini.
Kumbuka kwamba......
Hakuna ugonjwa wa hovyo kama hofu na mashaka..☺️
 
Kigezo mufulisi kabisa
Kama unachepuka we chepuka tu sio kwa kujikuta unalipiza kisasi cha jambo ambalo halipo.
 
Kiafrika wanaume hawachepuki..
Wanaume Afrika wanaongeza mke..
Africa polygamy ni widespread
Ku cheat kuko Europe ambako hakuna polygamy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom