Watoto wa kike huwa wana mahitaji mengi sana kama wewe ni mwanaume lele mama na sio mtafutaji utashidwa kusimamia majukumu yako na mwisho wa siku wajanja wa mjini lazima uporwee mwanamke wako...
There are types of women that men admire most. Here are types of women that men admire most.
1.A woman who respect him.A man love a woman who respect him so much.A woman who listen to what he is...
Akiwa na mtoto au watoto amezaa ni vizuri.
Akiwa aliachika katika ndoa na angalau alipewa taraka itapendeza zaidi.
Asiwe chini ya miaka 35 na asifike 55.
Dini yake yoyote aendelee nayo.
Mi...
Kuna binti nlimwonesha dalili ya kumtaka Kimapenzi, ila sikumtongoza direct, kaishia kunitangaza kwa rafiki zake kuwa namtaka, Hajawahi kunikosea chochote na mm sijawahi kumkosea chochote...
Hakuna safari ndefu kama safari ya mahusiano huwa ina mabonde na malima lakini Moja kati ya changamoto kubwa katika mahusiano kuelekea ndoa ni wazazi kupinga au kumkataa mchumba unayetaka kumuoa...
Katika universe yetu kuna kanuni zake ( nilishawahi kuichambua universe katika post zangu za nyuma hivyo sina haja ya kurudia tena ), kanuni ambazo zinatawala ulimwengu huu, kanuni ambazo...
Baadhi ya vijana hawa wengi wao ni vijana waliopo chuoni.
Kama hayupo chuo basi yupo mtaani na vyetiii anahangaika kutafuta kazi.
Wengi wanaishi kwa mashemeji zao na nyumbani Kwa wazazi wao...
Kama wewe ni mwanamke ama mwanaume, tumia njia hii kupata mume/mke pale unapokutana na mtu aliyeuteka moyo wako, na umwambie hivi:-
Kwa mwanaume: - 'Kuna sauti inaniambia wewe ndio mke wangu'...
Kibamia kama sijakosea nadhani ni kielezi kinachoelezea Uume namna ulivyomfupi kuliko kawaida.
Aidha Kibamia ni msemo ambao wanawake hupenda kuutumia sana kuwadhihaki waume zao, wapenzi na hata...
MDADA - "Hi Nimevalishwa pete ya uchumba mwezi wa 6. Nilifurahi sana sababu sikutegemea. pete haina hata miezi 2 imeanza kupata kutu. Hata marafiki zangu chuo wameanza kunicheka kuwa nimevalishwa...
Habari wakuu
Ni wazi kwa sasa kupata furaha ya kudumu kupitia mahusiano ya kimapenzi imekua ngumu hasa ukiwa mwananchi wa kawaida.
Angalau wenye nazo huwa wanapendwa hata kama ni kinafki na...
Nawasalimu Kwa Jina La Jamhuri Ya Muungano. Nami nitumie Fursa ya Jukwa Hili Kutafuta Nimpendaye,
Wasifu Wangu:
Elimu Ya Chuo
Single Father,
Miaka 41
Naishi DSM
Mfanyakazi & Biashara
Mkristo...
Katika mazingira fulani kaka na dada (mama zao mtu na mdogowe) wakajikuta wameanza mahusiano hatimaye kupata mtoto.
Dada alipoulizwa na wazazi wake kuhusu mimba akamsingizia mtu hewa, mtoto...
Wakuu heshima mbele hii ni special kwa madomo zege "Ulishawahi kujikuta unatamani kuliko kumtongoza msichana mzuri sehemu fulani japo upate namba yake ya simu ila unajikuta huna jinsi yeyote au...
Wakuu Habari!!
Nilikuwa na kasicha tuliko fahamiana kitambo kidogo kama marafiki tu kuna siku niko katika harakati zangu za maisha akanitafuta tuonane kama rafiki yake nikaona sio shida tukakutana...
Mimi ni binti wa miaka 23, ni mwanafunzi wa mwaka watatu chuo. Nilikua naishi kwa dada yangu ambaye ndiyo alianza kunisomesha tangu nilipomaliza kidato cha sita baada ya wazazi wangu kufariki...
1. Dalili ya kwanza mapenzi huongezeka kipindi una hela au amegundua una hela ila hela ikipungua mapenzi hupungua.
2. Mwanamke anawekea kipaumbele mipango yake kwanza itekelezwe kuliko mambo...
Well,
Mawasiliano kupungua hana time na wewe Kama vile ulivozoea
Anakukwepa kuonana na wewe
Hakuhitaji kimwili kama anae mwengine anampatia
Hajisumbui kutamani kuonana naww ( hakwambii muonane...
1. Furaha yako ya kuwa na mahusiano imegeuka kuwa hofu ya kuachwa. Unakuwa na mawazo na unaonyesha kuchoshwa na uhusiano uliopo.
2. Hali yako inategemea hali ya uhusiano ikoje wakati mwingine...
Mwanaume ambaye anastahili kuwa mumeo. Nafanya hivi ikiwa ni msaada kwa wale ambao wamefikia hatua ya kuingia kwenye ndoa lakini bado wanashindwa kutambua yupi ni sahihi na yupi si sahihi kuitwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.