Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,364
- 60,495
Baadhi ya vijana hawa wengi wao ni vijana waliopo chuoni.
Kama hayupo chuo basi yupo mtaani na vyetiii anahangaika kutafuta kazi.
Wengi wanaishi kwa mashemeji zao na nyumbani Kwa wazazi wao.
Hawana lolote wamejaaa porojo midomoni na umbeyaa wanachojua wao ni kupendeza tu kisharobaro.
Akikutongoza ukamkataaa anakutangaza vibaya mara unanuka k Mara nimeshatembea nayee hana lolote [emoji3][emoji3][emoji3]
Hivi naanzaje kudate na wewe Maisha yenyewe hujaanza unakipi unachokijua wewe kijana pambana na maisha Kwanzaa ndo uje kuopoaa demu .
Baadhi ya Hawa vijana wanaumia sana kutemwaa na mademu wakali wanaanza kutengeneza fiksi kibao [emoji3][emoji3][emoji3]hapo watoto wazur tumemilikiwa na watu wanaojitambua wanaojua Maisha.
Nyie vijana wadogo acheni blah blah katika mapenzi ukitongoza demu akakutolea nje pambana upate mkwanja magari mademu wakulilie hayo mapenzi mnayoyataka yamesha expire zamani au usubiri mbinguni huko sio kwenye hii dunia.
Tena mkome tabia ya kutongoza demu anakukataa unakaa uanaanza kubwabwaja domo lako kama mwanamke wa mwananyamalaa[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
Ukija hapa Jamiforum kuna vijikaka vinashinda pm kutongozaa ukivitolea nje utakomaaa utatukanwa kwenye comment mpaka unyambeeee mwenyewee [emoji3][emoji3][emoji3]
(jokes kunogesha uzi)
Yani mimi nilkuwa nikisikia mkaka yupo chini ya miaka 28 Akuuiih siwez nikakubali hata kidogo kuwa mpenzi wangu maana najua ana stress za Maisha sasa mm mwenyewe napenda magari napenda vitu vizur utanisaidia nini zaidi ya kuniletea blah blah
Vijana pambaneni na maisha acheni kupoteza muda kuwafatilia wanawake huwezi kamwe kushinda wanawake ni kiboko ya uchafu.
Mrs Jr chamdeko.
Kwa udhamini wa wanawake wa shoka ledada na Mama Sabrina.