Dada anagoma kumpa Kaka mwanaye, waliyezaa naye

Dada anagoma kumpa Kaka mwanaye, waliyezaa naye

Pillato

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2021
Posts
333
Reaction score
310
Katika mazingira fulani kaka na dada (mama zao mtu na mdogowe) wakajikuta wameanza mahusiano hatimaye kupata mtoto.

Dada alipoulizwa na wazazi wake kuhusu mimba akamsingizia mtu hewa, mtoto akazaliwa maisha yakaendelea, na huduma zinatolewa kwa usiri mkubwa sana mpaka sasa.

Wakati hayo yanafanyika Kaka mtu alikuwa tayari ana mke na mtoto mmoja mchanga.

Miaka 10 Sasa jamaa hajabahatika kupata mtoto mwingine kwa mkewe, pia kajaribu kutafuta nje ya ndoa imeshindikana kabisa, dada alishaolewa na amejaaliwa watoto wawili wengine.

Sasa Kaka anataka amchukue mwanaye aliyezaa na dada yake amlee kama mwanaye na awe sehemu ya urithi wake, lakini dada hataki kwasababu watu wanasema mtoto anafanana na Mjombaake (baba) Kwahiyo akimchukua siri itavuja,Kaka naye anatishia kutotoa msaada wowote endapo hatapewa mwanawe.

Kwenu wanaJF mnawaambia nini hawa wazazi mtu na dada yake.
 
Watumie busara kuliweka sawa hilo. Huyo jamaa kama aliweza kumlea kisiri miaka yote aendelee tu.
 
Katika mazingira fulani kaka na dada (mama zao mtu na mdogowe) wakajikuta wameanza mahusiano hatimaye kupata mtoto.
Dada alipoulizwa na wazazi wake kuhusu mimba akamsingizia mtu hewa,mtoto akazaliwa maisha yakaendelea,na huduma zinatolewa kwa usiri mkubwa sana mpaka sasa.
Wakati hayo yanafanyika Kaka mtu alikuwa tayari ana mke na mtoto mmoja mchanga.
Miaka 10 Sasa jamaa hajabahatika kupata mtoto mwingine kwa mkewe,pia kajaribu kutafuta nje ya ndoa imeshindikana kabisa,dada alishaolewa na amejaaliwa watoto wawili wengine.
Sasa Kaka anataka amchukue mwanaye aliyezaa na dada yake amlee kama mwanaye na awe sehemu ya urithi wake,lakini dada hataki kwasababu watu wanasema mtoto anafanana na Mjombaake (baba) Kwahiyo akimchukua siri itavuja,Kaka naye anatishia kutotoa msaada wowote endapo hatapewa mwanawe.
Kwenu wanaJF mnawaambia nini hawa wazazi mtu na dada yake.
🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔
 
Mkuu ht huyo mtoto wa dadako atakuwa si wa kwako pia ndio maana hataki kukupa, ila mtoto ni mtoto sio lazima awe damu yako tafuta mtoto mchanga umlee mpk mwsho atakupenda na kuthamin km babake mzazi tu, furaha jipe mwenyew usikubali kuteseka dunian tunapita tu hapa
 
Manabii wa uongo wanakuja kwa kasi sana.
 
Back
Top Bottom