Nimeamua nijipende mwenyewe

Nimeamua nijipende mwenyewe

Singasinga

JF-Expert Member
Joined
Aug 27, 2011
Posts
2,742
Reaction score
3,319
Habari wakuu

Ni wazi kwa sasa kupata furaha ya kudumu kupitia mahusiano ya kimapenzi imekua ngumu hasa ukiwa mwananchi wa kawaida.

Angalau wenye nazo huwa wanapendwa hata kama ni kinafki na walionao kwenye mahusiano.

Baada ya kuligundua hilo binafsi nimeamua kuyapa mapenzi kisogo na kidogo nnachokipata nitatunza na kingine nitajijali kwa kupendeza na kula vizuri mara moja moja.

Nyege zikinifika kichwani ntapiga nyeto hata kimoja kwa wiki sidhani kama ni mbaya.

Ila mahusiano kwa sasa ni magumu maana wanawake wanaangalia wanafaidika nini kwako kiuchumi ndio wakuchagulie aina ya kifurushi cha upendo cha kukupa[emoji4]

Atakupenda mwanzoni mwa uhusiano kabla hajakujua ila akishaona hapati alichotarajia(kiuchumi) hakuna rangi utaacha kuona hata kama unazama chumvini.

WANAUME TUTAFUTE PESA.

Kibao cha kusindikiza thread
😛apa Wemba-Yolele
 
Tafuta mwanamke bikra mkuu. Hutajuta.
 
Nyege zinasumbua pale ukishakula ukashiba,hujui hata zinatokea wapi.Unakuta upo zako sebuleni unaangalia TV lkn huioni,akili imehama,kichwa cha chini ndy kimeshika usukani kinaoperate

Ila nyeto mkuu siyo poa

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji38][emoji38]Eti huioni dah!

Kwa hiyo mkuu hata kimoja cha kurudisha mwili normal haitakiwi?
 
Kuna mmoja nilimtokea akanizungusha ila alinikubalia kiaina. Ikafika muda napiga simu hapokei, hajibu text, siku aliponibkue tick nikafuta namba yake nikadeal na wengine. Jumatano akanitafuta tunaongea vizuri ila kuonana bado anazingua. Wakati tunaongea akachomekea basi tutaonana next week maana ana birthday. Nikajua kanitafuta birthday yake vile inakaribia, nikakumbuka demu mwingine niliyekuwa nishasahau akanitafuta birthday ilipokaribia nikampiga U-turn basi nikatabasamu.

Mwingine alinizungusha hivyo ilipofika birthday akaniita sikutokea. Ikaisha nikamtafuta tuonane hakukubali, muda ukapita akaja nicheki anadai anaumwa nikamuone. Nikaona haina faida kwangu.

Niliacha ujinga wa kujifanya najali hisia wakiwa na shida. Angel aliponifanyisha liparty lake nikatoka hapo kapa nikaambulia urafiki wa kumkopa na kuliliwa shida
 
Hahahaa nobody loves you unconditionally hata kama ni mzazi wako... Hata mama yako aliyekubeba miezi tisa tumboni.
Mwanadamu hupendwa kwa kile anachoweza kuwanufaisha wengine...

Mzee na wewe kuwa tuu hivyo.

Jipende wewe kwanza na Usitafute kupendwa tafuta kuwa na vitu ambavyo Watu wanavipenda
 
Unakuta mwanamke Ana wanaume watano!
Na kila wiki lazima Kuna dume moja linalojali limtumie buku Tano Mara Tano 25k

Kwaiyo ukitoa vicoba Hawa wanawake wanatufanya sisi kuwa vitega uchumi vyao.

Bora ujipende tu, uku unatafuta pesa.. alafu unakuja kuoa Pini moja qaliiiiiii Tena biqra.

Maendeleoniwewe.

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom