Natumai mpo poa wadau leo ningependa kuwapa codes wanaume wenzangu waliooa na ambao hamjaoa someni hizi sheria
1.Hutakiwi kueleweka sana kwa mkeo(fanya kama upo upo tu) muache atumie nguvu kujua...
Jamani katika pitapita zangu nimekutana na kimwana mkenya, mwenye asili ya hukoo Nyanza. Tumeanza ku-date kama miezi 6 iliyopita.
Ni mzuri wa sura na tabia yake so far ni poa. Mcha Mungu kiasi...
TULIOOA
Watu wengi, hususan Wanaume waliozingua kwenye ndoa zao wana brag sana kuhusu uzuri wa ndoa, kama ulioa na clear purpose, huwezi kuwa unajieleza sana kuhusu maamuzi yako. Kama ndivyo...
Huyu jamaa amebobea katika mswala ya IT ni ngosha mmoja.kutoka.mwanza kajichukulia jiko kwa raisi.
Lakini kichwani yupo vizuri siyo wa mchezo mchezo ila sasa wasukuma hizi ni sifa.
Hakuna pigo linaloweza kumvunja mwanamume vipande vipande kama kujitoa kwa 100% kwa mwanamke unayemwamini na kumpenda, halafu mwisho wa siku anakunyima hata sehemu ya kulala kwenye nyumba...
Unafurahia mahusiano yako na kimapenzi, Ndoa,Urafiki,Ama unajutia.????
Kama ndiyo kwa nini ?
Hapana kwa nini ?
Ninyi wenye mahusiano yaliyofanikiwa ni Mambo gani/Hatua mlizopitia mpaka...
Kuna baadhi ya familia zina migogoro mikubwa,ndugu hawapatani hawapendani wana chuki wivu na kijicho kati yao.Wengine wanafanyiana mambo ya ajabu hata kufikia hatua ya kuendeana kwa waganga,chuki...
Sasa ninafuraha tele hivo vitu havitanisumbua tena.tayari nimepoteza hisia za kutaman na kupenda.asante sana mtaalam sasa nitakuwa tajiri #tagg kataa ndoa daima.
Ladies and gentlemen
Tuelewane frog style ni branch ya dog style lakini sio dog style..!!
Naona wengi mnachanganya hapa!
Hii ndio frog style 👇😹
Halafu kuna hii ndio dog style 🏃♀️➡️
Lengo...
Experience makes a person better or bitter. Kiukweli Sihitaji tena mahusiano na mwanamke yoyote yule,,,,
Wanawake wa kizazi hiki hawajui wanachotaka unaweza piga jitu ukaenda jela Bure na future...
Hello jf members
Hii ni kwa jinsia ya wanawake, je nifanyeje ili ukubali kuwa mpenzi wangu. Maana naona kama kumekuwa na sintofahamu na kupata mwanamke wa kuwa nae kwenye mahusiano imekuwa ngumu
Utengano au talaka kati ya wazazi mara nyingi huacha majeraha makubwa, lakini waathirika wakuu katika migogoro hii huwa ni watoto.
Leo tuangazie uamuzi muhimu sana wa Mahakama Kuu ya Tanzania...
Hakuna watu nawacheka kimoyomoyo kama washkaji wenye watoto wakike tupu.
Mimi mkewangu alipo jifungua mtoto wangu wapili ambae ni binti nililia sana niliwaza akija kukua itakuwaje yani nilikosa...
DHANA YA KUELEZEA MAMBO KWENYE USAWA imewagharimu sana Wanawake hususan linapokuja suala la kuelezea masuala ya muundo wa kiroho kati yao na Wanaume. Wanadhani gharama ya ZINAA inavyomuathiri...