Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mwanaume mmoja huko Nairobi Kenya alifanyiwa surprise ya mwaka na mkewe akishirikiana na wanawake 4 anaotembea nao mumewe. Ilikuwa siku ya Valentine mke akapanga mipango na wake wenzake ili...
8 Reactions
36 Replies
3K Views
Kamati imewazawadia maharusi zawadi yenye thamani ya 59,000 lakini shangwe lake usipime, nakubali ndio uwezo wao ila najiuliza kama wangekuja na ufunguo wa Passo ingekuje?
0 Reactions
4 Replies
884 Views
Si mara moja ua mbili umewahi kusikia wachumba wametengana hivyo kukatisha ndoto yao ya kuwa wanandoa. Uchumba kuvunjika ni moja ya masuala yanayozungumzwa na kuikumba jamii kila kukicha ingawaje...
4 Reactions
17 Replies
3K Views
Wasalaam ndugu zangu. Baada ya kuingia chimbo la takriban miezi kadhaa nikifanya tafiti mbalimbali, ghafla nikajikuta navutiwa sana na utafiti juu ya hili jambo. Ni jambo moja nyeti sana ambalo...
4 Reactions
35 Replies
4K Views
Habarini wadau, Swala la kupima limekuwa swala gumu sana mana vijana wanauza mechi, au kuteleza sana pasipo sababu za msingi pia kujisahau sasa ukiambiwa upime na majibu mpewe kwa pamoja vipi...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Kuna wakati nawaonea huruma watu wanaoa na wenye mipango ya kuoa kama wanawake wenyewe kumbe wako hivi wakishaolewa na kupata mtoto au watoto wengi huanza harakati za kurudisha mahusiano yao na ex...
2 Reactions
54 Replies
6K Views
Ni mwanamke nilie mjua kupitia jamaa yangu. Ni mwanamke Alie kwenye ndoa yake ni mwanamke wa makamo yupo around 30s katika hii ndoa hakubahatika kuwa na mtoto japo ndoa yake Haina shida full Aman...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Amani ya Bwana iwe baby I! Nawasilisha mtazamo Kwa nini tunaoa au kuolewa na je ni kwa namna impendezayo Mungu? Kwenye jibu hapana hilo tarajia usaliti utokee. Pilau ya nyumbani huzoeleka na...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wajumbe igweee..... Wale mnaosema sijui nahitaji mwanasaikolojia, hebu Njooni hapa muone Hawa mabaharia wanavyoteseka. Wale mnaosema soon naoa, aisee kilicho bora kwasasa ni KUTAFUTA HELA...
7 Reactions
40 Replies
4K Views
Maana halisi ya kutafuta mpenzi, ni kutafuta mtu aje akusaidie kutumia fedha zako ulizozitafuta kwa jasho. Kama wewe unaponda kokoto tani 20, unatafuta mtu aje akusaidie kutumia fedha zako...
10 Reactions
24 Replies
2K Views
Mi naamini mapenzi ni hisia, kila mmoja anaonyesha hisia zake kwa mwenzake na maisha yanaendelea. Sasa kumekuwa na tabia kama ya kununua huduma, ili mwanaume apate penzi lazima amgharamie...
14 Reactions
437 Replies
20K Views
Utafiti uliofanyika huko Marekani na Netherlands kuanzia miaka ya 80 unaonyesha kwamba wazazi wenye watoto wa kike ni rahisi sana kuachana kuliko watoto wa kiume. Sababu inaonyesha kwamba ni...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Cha mno ni nini hasa? Nini matarajio yako nje ya ndoa yako uliyonayo sasa? Ninini?, kwamba uliamini kwamba mwenzi wako ni malaika? Au unaamini kwamba ukimwacha huyo then utampata mtakatifu...
13 Reactions
36 Replies
4K Views
Happy Valentine kwa wenye Mapenzi! Leo nimekumbuka Valentine ya mwaka jana na Xwife wangu. From December 2020 tulikua na kutoelewana flani nikasema ngoja nimtulize Kwa mtoko maana ni vitu...
8 Reactions
52 Replies
4K Views
Nawashauri wanaume wenzangu tuwaombe wake zetu msamaha hata kama wao ndio wamekosa. Ikibidi mfulie nguo zote na uoshe vyombo mbele ya jamii kama mmepanga.
7 Reactions
91 Replies
7K Views
Natamani nikifikisha miaka 60 kama Mungu atajalia, nisiwe natumia nguvu nyingi sana za kupata ugali kwa siku. Kama itawezekana, uwe ni umri wa kucheza na wajukuu pamoja na kwenda kuwinda au...
8 Reactions
63 Replies
4K Views
Dunia haikosi vituko, Hotel Moja jijini Mwanza imesema itatoa zawadi ya sh milioni 1 na kugharamia gharama zote kwa siku tatu kwa couple yoyote itakayovunja kitanda cha hotel hiyo siku ya...
8 Reactions
68 Replies
6K Views
Habarini Wakuu! Siku ya Jana imepita kuna wale ambao mlikaa kama magogo siku nzima na kuna sisi ambao Jana ilikua siku Special[emoji7] ila kikubwa Uzima na tupo hapa. Nirudi kwenye kitu ambacho...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Nımeona quote moja huko twitter ambayo imekuwa popular na watu wengi wanaisapoti. Hiyo quote inaonekana inatoka kwenye movie inayoitwa love tactics huko netflix. Quote inasema " Wanaume wana...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Katika hali isiyotarajiwa King Mswati wa Swaziland ametoa amri kwa Kila mwanaume nchini kwake kuoa wanawake watano. Kinyume na hapo atakaepinga atawajibika kutumikia kifungo cha maisha jela. Hayo...
13 Reactions
179 Replies
15K Views
Back
Top Bottom