Jamaa yangu amempa mimba mke wa mtu

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
3,454
8,224
Ni mwanamke nilie mjua kupitia jamaa yangu. Ni mwanamke Alie kwenye ndoa yake ni mwanamke wa makamo yupo around 30s katika hii ndoa hakubahatika kuwa na mtoto japo ndoa yake Haina shida full Aman na familia yake alio nayo ya kulea watoto wa ndugu zake na mmewe.

Basi turudi kwenye kisa huyu mwanamke sijui illikuaje Hadi wakawa wanadate na jamaa yangu maana huko ilikuaje walikutanaje sijui ila Mimi naanzia nilipo wakuta .

Basi katika harakati zao za kunyanduana mwanamke akabahatika kupata ujauzito huu ujauzito ndio mwanzo wa matatizo kwa jamaa yangu maana anamke wake na anawatoto wa kutosha tu akawa anajiuliza Sasa huyu mtoto akizaliwa itakuaje kwa sababu yeye ni mweupe hasaa Ila mwanamke na mmewe ni weusi pure.

Jamaa alicho kuwa anahofia vipi mmewe akijua na mtoto akizaliwa white so wataachana na mkewe na hayo majukumu ya mtoto huyo utakua mzigo kwake Tena maana wa nyumbani kwake tu bado changamoto akiongrzeka na huyu itakua shida cos jamaa wanae wote anapeleka English medium . So hizo sababu ndio zilizo mfanya amhimize Bibi kutoa mimba .

Kwa wakati huo Bibie anaona alikua anaona Kama ndio muujiza umetendeka na akaonaa hiyo ndoa yake Haina maana Tena isipo kuwa tumbo lake tu Basi walivutana Sana na jamaa Hadi ikapelekea ugomvi kuwa mkubwa na kuanza kuingizwa na sisi tushauri lkn mwisho wa siku sikuweza kushauri chochote zaidi ya kuitikia tu wito pale wanapo niita na kuwasikiliza bila kuchangia chochote na kutunga uongo pale ninapo ulizwa amesema nini

Basi bwana kwenye familia ya mwanamke nyumbaa ikawa naa furaha hatari kutokana na ombi lao kujibiwa heka heka za mama kija Hadi akajifungu mtoto wa kike huyu mtoto ni mweupe mweusi kachukua sura ya mama pua ya jamaa nk .

Basi lile tegemeo la kuona wanaachana likawa limekuja kinyume Cha ajabu mtoto ndio ameleta furaha hakuna yaani mme wa madam ndio kwaanza anadunda mtaani utafikiri yeye ndio wa kwanza kuwa na mtoto.ila wanawake Mungu anawaona sijui kamlisha Nini jamaa wawatu.

Basi kurudi kwa jmaa huku Alisha ambiwa Mimba haimuhisi na wasisumbuane , na mwanamke kumuona jamaa ni kirusi anataka kuvunja ndoa yake. Basi ndio hivyo wakaishia kublakilistiana kwa hiyo Mimi nikawa rafiki yao kila mtu akitaka kujua taarifa au kumsi mwenzie wanakuja kwangu na kupondana wee lkn Kama kawaida yangu ni kutafuta tu maneno ya kuwatuliza basi .

Siku zikawa zimeenda hivyo jamaa akaja kupata taarifa kule Kuna mtoto wa kike kafanana na yeye kifupi ni mtoto wake akicheki kwake anamadume ma nne kule Kuna kademu aliko kakataa na kumlazimisha atoe mimba Ila saizi moyo unamsuta na kutaka kumuona mwanae Tena yaani kageuka Kama sio yeye vile na Mimi hapa ndio daraja la kuwakutanisha nimejaribu kutunga uongo wa kuto wakutanisha Hadi nimemaliza maana najua nikiwakitanisha wakaanza Mambo yao ikapelekea kuvunja ndoa zao Mimi nitakua nimehisika.

Jamani nisaidieni nachomokaje hapa in safe. Bila Mikono yangu kuhusika na lolote na nisichukiwe na wote wawili maana jamaa nje ya haya pia anamazuri yake yanayo tufanya tuwe majamaa na mwanamke nje ya haya she is innocent sitaki aje aone Kama mm nimewahi kuwa chanzo Cha matatizo Kama yatatokea huko mbele na kunilaumu ....Kama mjuavyo Mimi chozi la Mwanamke mnyekevu , msikivu na mpole huwa Lina nitesa Sana na sitaki haya yanikute.
 
Eeh kaka huyo jamaa ako yupo humu humu mwambie akimbie mbali maan mume wa shemeji ako nae yupo hapo juu tu

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Huyu jamaa yako ni wewe so tulia mtoto sio wako. Mlishaambiwa isidinde kwa mke wa mtu wa mtu.
 
Wanakugeuza Mbeya Wao....
 
Miongoni mwa dhambi ambazo nimemuomba Mungu aniepushe nazo.

Why mke wa mtu wa bidada kibao wamejaa mtaani tena wengine wanataka wenyewe.

Mkishushwa busha mtarudi bapa kutoa thridi
 
Kibarua hana shamba
 
Huyo jamaa yako aache upuuzi kitanda hakizau haramu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom