Last year on Valentine day with my Xwife

Baba jayaron

JF-Expert Member
Jun 29, 2015
4,007
5,446
Happy Valentine kwa wenye Mapenzi!

Leo nimekumbuka Valentine ya mwaka jana na Xwife wangu.

From December 2020 tulikua na kutoelewana flani nikasema ngoja nimtulize Kwa mtoko maana ni vitu anapenda sana sema ni hivo sikua na maisha hayo baada ya kufulia.

Basi nilikua ka 50k nikasema haitoshi ngoja nifanye namna niwe ka na laki, basi mzee nikamcheki bi mkubwa nikamwambia nimepelea ada ya mtoto niongezee ka 50k basi akakaza kaza akaachia nikawa na kitu ka 100k.. Nikamwandaa wife tukatoka zetu moja lodge hadhi ya kati hapo Dar.

Nilitegemea siku hio ingekua show show maana namuelewa x wangu lakini huwezi amini niliambulia bao mbili tuu tena kwa force saana nikajiiuliza why akasema amechoka tuu na kazi a said OK maana nilidhani labda hapakumfurahisha then asubuhi akanishkuru akasema haya ndo maisha anayoyataka yeye si ya kukaa sehemu moja bila mitoko though anajua kipindi icho si afford any luxury maana izo basic needs shughuli pevu...

Ili nivunja moyo but a said itakaa sawa tuu... Basi kurudi home kesho yake bi mkubwa si alijua Aiseeeh nilichambwa noma kwamba nachezea hela wakati hali yangu mbayaa nikasema i don't care as long nilikua napalilia penzi laa mke na mama watoto nimpendaye...

Finaly niligundua kumbe alikua kesha anza mahusiano na njemba ingine ndo mana hakufeel anything katika yoote niliyoyafanya japo nje ya uwezo wangu... kifupi i wasted my money an time....

This Valentine kuna watu wataangukiwa na kitu kizito kichwani na wengine watapata raha halisi ya mapenzi so nawatakia kila la heri na akili kichwani kwako...

Binafsi ninadate na my self japo nina demu sema simfeel kiivo so nafurahia kwakua kwa sasa yupo mbali ivo siumizi kichwa nikapoteza vi sumli vyangu na muda msg tuu inamtosha kusogeza siku.
 
Pole snaa boss mwanaume uchumi ukitetereka ata kama mwanamke anakazi lakin bado atakufanyia visa snaa na kama akipata njemba nje ujue ndyo kifo cha ndoa yako japo Mimi nishasema siku nakuwa sina kazi ndyo mwisho wa mapenzi yangu Kwa mchumba wangu mapema snaa namuacha au nakimbia mkoa mwingine nikajichange kuliko kuvumilia karaha na maneno ya kejeli
 
Sio wote wako hivyo bhana
 
Ikiwa una mpenda na unawatoto si rahisi mkuu
 
Back
Top Bottom