DEAR GIRLS hivi ni baadhi ya vitu ambavyo sisi wanaume tungependa mvijue

Ed edd n eddy

JF-Expert Member
Jan 3, 2016
207
244
  1. Hatuna wivu mkiwa na marafiki wenu wakiume,ila usivuke mipaka
  2. Yes,mapenzi yako hayawezi kulinganisha na mapenzi na mama yangu
  3. Sometimes tunashindwa kuelewa hisia zenu au sign zenu haimaanishi kua hatujali.
  4. Sauti yako nzuri na tabasamu inavutia zaidi kuliko mzigo wako huo nyuma
  5. Mara nyingi tunawasifia,tunacare na kuwasaidia sio sababu ya kutaka ngono na nyie ila ni upendo wetu kwenu
  6. Tunapenda kukatisha malumbano na nyie haraka,haimaanishi kua mko sahihi
  7. Sometimes tunaskiliza story zenu na umbea wenu wa kazini ili kuwafanya mjiskie vizuri
  8. Tutafanya chochote ili tupate attention yako
  9. Tunachukia sana ukimzungumzia ex wako
  10. Our hearts also melts when you hold our hands in public
  11. Tunaskia raha sana ukitusifia. Wanaume ongezeeni nyingine
 
Wadada kutukubalia halafu wanaleta mapozi badala ya upendo na mapenzi. Hapo utatamani udeti na hata mzungu mzee akizingua.
 
Si bando la wiki iyo inaisha.
Ikiisha unanunua mwenyewe
FB_IMG_1579575611841~2.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
17. Hatupendi kuulizwa ulizwa kama nimekula au nimekula nini maana mimi ni mtu mzima. Ebo!!
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom