Amerudi analia, anatia huruma...

yuda75

JF-Expert Member
Aug 16, 2020
520
1,379
Habari Wadau na Wanajuiya kwa ujumla wenu

Niliwai leta uzi humu kuwa kuna mdada mzuri kwa mtazamo wangu, nilimpenda sanaaaa nilimuhudumia sanaa kila alichoitaji na ambavyo hakuniomba nilimpa lakini alibadilika akawa na mtuu ambae ni jama yakewa utotoni.

But naona kajileta kwangu mahaba kama yote sms na simu zinamwagika sana sasa nakuwa nashindwa kuelwa nini tatizo au nini kimemkuta au huduma kule hakuna aliniliza sana uyu kenge nawaza nakosa majibu. Sijawai kulipiza ubaya kwa baya.

Je, nimpe nafasi au niendele na mishe zangu za kupiga dudu na kuacha mana yeye ndo alie swababisha?

Nawakaribisha wadau
 
Sijaona alipolia.

Ila JF kiboko kila kidume ni kitajiri,kilihudumiaa weee kikakotoswa kisha ex kajirudisha,kila kidume kina mchepuko kinamhudumia na kina sauti kubwa. Kila kidume kina hela,kina gari,kina kazi nyenyonyo nyoooo story za fikirika
 
Yewezekana kwako alikua hali blanket
Screenshot_20220321-080119~2.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaona alipolia.

Ila JF kiboko kila kidume ni kitajiri,kilihudumiaa weee kikakotoswa kisha ex kajirudisha,kila kidume kina mchepuko kinamhudumia na kina sauti kubwa. Kila kidume kina hela,kina gari,kina kazi nyenyonyo nyoooo story za fikirika
Mh mbona kule jukwaa la ajira kuna kijiwe chetu cha kuelekezana wapi kuna michongo sisi wanaume
 
Sijaona alipolia.

Ila JF kiboko kila kidume ni kitajiri,kilihudumiaa weee kikakotoswa kisha ex kajirudisha,kila kidume kina mchepuko kinamhudumia na kina sauti kubwa. Kila kidume kina hela,kina gari,kina kazi nyenyonyo nyoooo story za fikirika
Hahaha kunywa maji kwanza Numby utapaliwa
 
Sijaona alipolia.

Ila JF kiboko kila kidume ni kitajiri,kilihudumiaa weee kikakotoswa kisha ex kajirudisha,kila kidume kina mchepuko kinamhudumia na kina sauti kubwa. Kila kidume kina hela,kina gari,kina kazi nyenyonyo nyoooo story za fikirika
Punguza makasiriko mkuu
 
Maisha unayoishi wewe ndo hayohayo watanzania karibu wote wanayaishi
Usijichoshe Sana kuwafikiria watu wengine

Jf Ni sehemu watu wanajaribu kuishi maisha ya ndoto ambayo sio halisi
 
Kama alikuliza na akasepa na mhuni,na sasa karejea tarajia maumivu zaidi toka kwake,maana kusikia kwa kenge mpaka atokwe damu
 
Sijaona alipolia.

Ila JF kiboko kila kidume ni kitajiri,kilihudumiaa weee kikakotoswa kisha ex kajirudisha,kila kidume kina mchepuko kinamhudumia na kina sauti kubwa. Kila kidume kina hela,kina gari,kina kazi nyenyonyo nyoooo story za fikirika
Kwa hii comment yako vaa element wanakuja na mawe
 
Back
Top Bottom