Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Sanamu ya shaba ya kumbukumbu ya Victor Noir, mwandishi wa habari wa Kifaransa aliyeuawa mwaka 1870, ipo katika makaburi maarufu ya Père Lachaise Cemetery jijini Paris. Kwa miaka mingi, sanamu...
2 Reactions
21 Replies
438 Views
My Take Mwanaume andaa sehemu ya kwenda kuishi na kushinda baada ya kustaafu Ili walau ufurahie pension vinginevyo utawafurahisha wengine. Usisahau kufanya vitu vidogo vidogo Kwa Watoto achana na...
14 Reactions
147 Replies
2K Views
Naam si vyema kuingiza yooote kama vile zuzu/fala. Ili ufanikiwe unatakiwa kuingiza kidogo halafu unasikilizia,, tartiibu utaona jinsi inavyochanganya ndio unaongeza tena kidogo halafu unatoa...
18 Reactions
48 Replies
1K Views
“Wanaume wazuri wanaumia kimapenzi kuliko wabaya? Huu ndio ukweli” Nimekuwa niki observe mahusiano mengi hapa Tanzania, na kuna kitu kinajirudia mara kwa mara lakini watu wengi hawaongelei wazi...
10 Reactions
34 Replies
803 Views
Huyu ni mwanamke niliyemwelewa sana. Alikuwa na sifa nyingi nilizohitaji. Tulikutana katika kituo cha mitihani ya profession. Kabla ya chochote alikuwa kampani tu ya discussion baadae nikaingiza...
15 Reactions
23 Replies
2K Views
Shikamoon wakubwa Wadogo zangu hamjambo! Jamani si kila mtu ana njaa,au ana shida,si kila mwanamke anajiuza,kuuza mwili ni Aina na hulka ya mtu tu Marry Mimi siwezi ,napenda kuwa na mwanaume...
23 Reactions
141 Replies
2K Views
Leo nilipokuwa nikpg misele nimekutana na babu.Alikuwa anabeba mzg nikaamua kumsaidia maana nlmuonea huruma. Tulipokuwa njian tukielekea kwake babu...
10 Reactions
32 Replies
436 Views
Jamani wadau kuna msichana nimeanza nae uhusiano karibia tuna miezi minne....... Ila shida ninayoipata ni Mimi kila Siku Mimi ndio ninamtafuta in terms of mawasiliano, kumpigia kumsalimia NA...
2 Reactions
41 Replies
9K Views
Ndugu zangu. Ukiwa na akili yale mazingira yanatisha hakika , yanaogopesha mno hasa linapokuja swala la kulamba . Wanaume tumekua tukionewa na kunyanyasika dhidi ya dhuluma hii na wengine...
22 Reactions
247 Replies
5K Views
Kwa majina naitwa Emma (Sio jina langu halisi), nina miaka 30 sasa nina mke na mtoto mmoja - Maria (sio jina halisi pia). Nampenda sana binti yangu, yeye pamoja na mke wangu ndio sababu ya mimi...
10 Reactions
40 Replies
4K Views
Oya wajomba kila mwanaume kuna mrembo wa kwanza kumpenda na kuamini kabisa ile mali ndo ilikuwa ya maisha. Na ulitumia mda mwingi sanaa kipiga swaga lakin dakika za jioni bado alichoma kibanda...
1 Reactions
5 Replies
374 Views
Wafanyabiashara wenye Maduka na wayzaji wao wa maduka Wamiliki wa makampuni na wafanyakazi wao n.k. Unaweza kuchangia kwa kutoa experience yako kwa kujibu swali moja, baadhi au yote kati ya haya...
2 Reactions
9 Replies
439 Views
Kuna mtu mmoja alisikika huko mitandaoni akisema kwenye video mjongeo maneno hayo aliyosasema kama inavyoonekana hapo chini... Mama kauliza hapo wakuu.. tusaidiane kupata majibu mpaka imfikie...
2 Reactions
16 Replies
268 Views
Dah huyu beki tatu wangu nilikua sijamcheki vizuri Wikiend tulitoka na familia niliwapeleka kuogelea Sasa nguo alizovaa beki tatu wakati anaoga ni noma, umbo limejichora halafu ana kimzigo...
21 Reactions
141 Replies
3K Views
Nlishawahi kuwa na demu mmoja kilaza sana. Unajua sometimes sisi wanaume kabla ya kuoa unakuwa na mchakato wa muda mrefu wa kutafuta mke. Yule demu nlikutana naye mazingira flani nami akili yangu...
12 Reactions
51 Replies
4K Views
Huyu binti nikimpigia, sio mara zote anapokea lakini akipokea anaongea kawaida na anajikuta ananiheshimu hadi kwa vitendo Nikichokishuhudia leo: Leo nimemshuhudia akiwa barabarani anaongea kwa...
7 Reactions
35 Replies
815 Views
Salaam jamiiforum Kuishi ni lazima, Kuishi ni kuvifurahia vitu,kama Kula vizuri, Kulala pazuri na kuvaa vizuri. Bahati mbaya vitu tunavyotamani havipatikani kirahisi lakini ,naamini kila mmoja...
13 Reactions
17 Replies
380 Views
Kukatika kitandani ni Sanaa. Wachache sana wanazaliwa Na ujuzi huo, Ila wengi hupata ujuzi huo unyagoni, kwenye mafunzo yasiyo rasmi Na siku hizi kwenye magrupu ya WhatsApp. Kukatika kunaongeza...
13 Reactions
70 Replies
14K Views
Habari zenu wakuu?? Kichwa taja hapo juu kinajieleza,, umri kuanzia 20 mpaka 26 pia awe single mother mwenye mtoto 1 tu. Napatikana Morogoro
9 Reactions
128 Replies
2K Views
Habari wanajukwaa, Naona kuna wanaume wengi wanapenda wanawake wenye makalio makubwa kuliko wale walionyimwa makalio, why!?
18 Reactions
233 Replies
22K Views
Back
Top Bottom