Namna ya kuishi na mwanamke asiyejua kukatika kitandani

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,834
155,782
Kukatika kitandani ni Sanaa. Wachache sana wanazaliwa Na ujuzi huo, Ila wengi hupata ujuzi huo unyagoni, kwenye mafunzo yasiyo rasmi Na siku hizi kwenye magrupu ya WhatsApp.
Kukatika kunaongeza msisimko wakati wa majambozzzzz.
Kama umepata mwanamke na hajui kukatika kitandani utafanyeje ili ufurahie mahusiano?
1. Je una mpenda? Kama unampenda ni rahisi kumvumilia Na kumfundisha taratibu ili aweze ku master mikatiko.

2. Mwanamke ni zaidi ya viuno kitandani.
Mwanaume ni kichwa cha familia, Ila mwanamke ni shingo. Shingo hukipeleka kichwa huku na kule.
Ili uendelee ni lazima kutazama mbele Na kuangalia nyuma pia ili kukumbuka ni wapi ulipojikwaa Na kuanguka ili usianguke tena. Mama ni msaidizi Na kiongozi wa kiroho wa familia. Familia ambayo mama anaheshimiwa Na kuthaminiwa hufika mbali zaidi kimafanikio.

3. Katika wewe
Kama amekuwa gogo, muonyeshe upendo, Katika wewe. Mkatikie mpaka adate. Atatamani naye afahamu kukatika.
Ukitaka kilicho Bora Basi anza wewe kuwa Bora
 
Naona hali ya mvua inapelekea watu kuanzisha thread za kujisuuza nafsi
 
Back
Top Bottom