Kifaru86
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,734
- 3,810
Jamani wadau kuna msichana nimeanza nae uhusiano karibia tuna miezi minne.......
Ila shida ninayoipata ni Mimi kila Siku Mimi ndio ninamtafuta in terms of mawasiliano, kumpigia kumsalimia NA kuongea nae.
Ila yeye huwa hanitafutagi mpaka Mimi nimtafute nikimuuliza ni kwanini hunitafutagi yeye hunijibu yuko bizee Mara sina vocha Mara nakuwaga nimefulia ila cha kushangaza akiwa NA shida au tatizo yeye ndio hunitafuta tena kwa kupigiwa SIMU NA kutumiwa meseji lakini nikishamsaidiaga anapotea mpaka nimtafute.
Je mtu wa aina hii UNAWEZAJE kuishi nae ndani mahusiano