Ulikutana na mkeo akiwa tayari ana mtoto anaitwa John. Baada ya kuishi pamoja mkazaa mtoto mkamwita George.
Je, utamwita mkeo mama John au mama George?
Kabla hujakata tamaa kwa sababu umehisi umetengwa, umeachwa, au watu uliowaamini wamekupa mgongo, mkumbuke Pluto.
Pluto aliwahi kuitwa sayari ya tisa kwenye mfumo wa Jua. Miaka mingi alikaa...
Picha linaanza unamtongoza anakukubalia, zinapita siku mbili anakuomba hela kiroho safi unampatia, hujakaa sawa baada ya siku mbili mbele kizinga kingine.
Unasema kwakuwa ni mtu wangu ngoja...
Kuna wakati nilifikiri suala la kuposa, kuoa ni jambo jepesi, ila kwa figisu zile za mashemeji sijaamini macho yangu…kuna level ilifikia nilitaka kuwaachia dada yao ila kuna wazee waliniita...
Kwema wadau mke wangu aliondoka kitambo nahitaji arudi au huko alikopanga awe mke wangu wa pili najua akija zalishwa na wengine nitaumia mara mbili yake kumbukeni niliumia sana kipindi aliondoka...
Wanawake nimewanyooshea mikono aisee
Yaani hawa wanawake ni hatari aisee
Yaani mwanamke nimemtongoza within this week na hata wiki yenyewe haijafika mwanamke ananiambia kodi imeishia, gesi...
Mimi na mke wangu tuna mtoto mmoja ambae tulimpata 2020
Ilaa baada ya kujifungua tu ndani ya 1 month akapata mimba nyingine nkamwambia toa coz hali ya maisha sio nzuri.ikapita miaka sasa nahaja...
Wengi hushangaa kwa nini kajikuta kaoa mwanamke mwenye heshima na adabu msomi lakini sio mzuri,hana umbile ambalo alitamani hapo mwanzo awe nalo mwanamke atakaemuoa.
Wanaume wengi utawakuta...
Just assume, watu wanapigana ipatikane fedha ya kukutibu, mke wako anaonekana dubai, eti matatizo yapo tu, sa kama kapata muda wa kwenda dubai, huyu mgonjwa anachungwa na nani?
MWENYEZI MUNGU...
Kutokana na mambo mengi ambayo yanatokea duniani kuhusu wanawake
Mda mwingine hivi vitabu vya dini tunavitukana lakini ukichunguza vizuri vilikuwa vina haki ya kuwanyima uhuru hawa viumbe na hata...
Kwanini wanawake na mademu wa Sasa wanapenda utawala na 50/50 muda huo wanataka kuhudumiwa
Nini maana ya 50/50 utamtawalaje mtu ambaye unataka akuhudumie
Yaani mwanamke anataka mpaka pesa ya...
Miezi 7 nyuma nilianzisha mahusiano nikiwa na lengo la kujichallenge, kujijenga kihisia kwa kuplay emotional game ili tuone ni nani atakayeteseka mwisho mwa mchezo.
Nikatafuta binti mrembo haswa...
Wakuu, unakuta umemtamani kabisa mwanamke mnene na ukajitahdi kumpata,lakn pindi tu nikienda nae sita kwa sita,nikifanya nae round 1 siwezi kurudia, nahsi kama kinyaa na haiwezi kusimama. Kwa...
It was not a date, just a few minutes meeting. Mara ghafla anatokea msichana , mdada, mzuri hadi naogopa, huyu ni jini au ni malaika? Otea alikuwa ni nani kati ya hawa?
Miss Natafuta, Nakubusu ...
Wakuu, huyu Sandra ndiye aliyeniingiza rasmi katika ulimwengu wa mahaba,kupendwa, kujali,kudekezwa na uchafu wote kunako sita kwa sita alinifundisha yeye,alikuwa anainyonya,anaimumunya kama pipi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.