Babu kanishauri?

Babu kanishauri?

Yaping Xi Laan

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2025
Posts
1,255
Reaction score
2,470
Leo nilipokuwa nikpg misele nimekutana na babu.Alikuwa anabeba mzg nikaamua kumsaidia maana nlmuonea huruma. Tulipokuwa njian tukielekea kwake babu yule akaniuliza."hiv mjukuu wangu umeoa",nilimjibu hapana nlshindwa mbn kaniuliza.

nlimuuliza babu vp tena akanijibu."unajua mjukuu wangu mm sjaoa na nina miaka 77,naumwaa sana sina wakuniangalia na ndugu zang wamenitelekeza kisa sina familia" "mm nataman cku zirud nyuma nioe ila nivigumu,ila mjukuu wangu ww saiv una huo uwezo saiv usichezee ujana wako oa ukiwa na nguv maana ukizeeka hakuna atakaye kutaka" "saiv una ndugu na marafiki ila ukizeeka, wote watakukimbia ila watakaodhamin n familia yako mke wako na watoto wako" "mm nkw kijan nlvmb nkiona nn nguvu,sikutaka ushauri wa mtu leo hii nimejishdwa kwaiyo yatafakari usiyapuuze kama mm"
 
Tatizo skuizi mabinti wanaolewa na wanaume wanao wapata "sio walio wapenda" na vijana pia huoa wanawake ambao wamewapenda na "sio walio tayari kuingia kwenye ndoa"....
Minaona hapo ndipo shida inapo anzia... ebu ngoja niongeze mbili za baridi....🍺
 
Tatizo skuizi mabinti wanaolewa na wanaume wanao wapata "sio walio wapenda" na vijana pia huoa wanawake ambao wamewapenda na "sio walio tayari kuingia kwenye ndoa"....
Minaona hapo ndipo shida inapo anzia... ebu ngoja niongeze mbili za baridi....🍺
Tangu asubuhi unalewa we mzee
 
Babu kachanganyikiwa , angetafuta pesa ungekuta anacheza gofu na wazee wenzake na sio kusaidiwa furushi la magimbi
 
Ukiumua haswa pesa haitakusaidia utafia kwa nyumba chenye kitawajulisha majiran ni harufu kal mke pamoja na watoto wanasehem yao kumbuka "NO MAN IS ISLAND NO MAN STANDS ALONE"
Sio kweli, ulishawahi kuona tajiri akifa inajulikana baada ya harufu, au n kwa masikini tu?
 
Back
Top Bottom