Alikiri kutaka kunibambikizia mimba kukwepa usingo mother

Kipenzi Changu

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
59,427
Reaction score
139,466
Huyu ni mwanamke niliyemwelewa sana. Alikuwa na sifa nyingi nilizohitaji. Tulikutana katika kituo cha mitihani ya profession. Kabla ya chochote alikuwa kampani tu ya discussion baadae nikaingiza voko. Nilifanikiwa kufanya naye tabia mbaya lakini kimasihara. Akajuta na kunipiga beat nisijione mjanja kwani haitajirudia tena. Sikukata tamaa, maana niliona kama ni wife material na alijua kabisa nilikuwa serious na mahusino.

Mtoto mkali mwenye kila sifa za kunidengulia, alikuwa anafanya kila namna kunikatisha tamaa. Madai yake hayuko tayari na mambo ya mahusiano wala ndoa, anataka uhuru. Kwanza hafikirii kuolewa. No hate, nikakubali kumpotezea, ikabaki mawasiliano ya mara moja baada ya mamiezi.

Baada ya kipindi fulani nikaona anajirudi lakini kwa kasi sana. Baada ya wiki moja ya kuwasiliana mara 3 kwa siku akanichana anaomba mechi na mimi eti moyo wake umeshafunguka. Nikawa nipo mbali safari kikazi. Hakukata tamaa akaniambia anakuja mwenyewe kwa gharama yake. Machale hayakunicheza kabisa, ila nikamchenga kwa sababu huko safarini sikuwa na nafasi ya kuchanganya mapenzi na kazi.

Ikakata mwezi mmoja bila kuonana, ule moto alioanza nao ukapungua. Mwisho ikakata miezi mitatu ndio nikarudi mkoani kwangu. Nilimkuta mnyonge sana. Akawa hayupo tayari tena kufanya mapenzi na mimi. Mara nyingi alikuwa ananipa miadi ya outing. Ikafika kipindi akanibadilikia tena kwa kisingizio akili yake haipo sawa nimpe muda apate utulivu. Nikaona huyu demu ananipotezea muda, nikapotezea zangu mazima.

Miezi 12 baadae nikaona amepost kachanga halafu kakaziba uso. Nikaelewa amepata kachanga. Miezi minne baadae akanipigia simu kunipa hizo taarifa. Nikamuuliza kuhusu baba yake, akasema alikataa mimba na hawana mawaliano, so anakomaa mwenyewe tu. Hapo ndipo memory ikanirudia kuhesabu miezi nikagundua kipindi kile ananishobokea kumbe alikuwa na mimba. Katika maongezi alikiri alikuwa na lengo la kunifanya niwe baba wa mtoto kwani hakuwa tayari kuwa singo maza. Akaongeza, ni mawazo mabaya yalikuwa yakimtuma kufanya hivyo.
 
Makosa wanafanya kutembea na wazee ambao hawawezi kuwatambulisha analazimisha ambambikie kijana mimba.
 
Wa kwangu alikuja akiwa na mimba ya miezi mitatu. Nikashtuka kwanza amependeza sana kupita kawaida. Na mimi nina zaidi ya miezi minne bila kukutana.

Nikamuuliza mbona una mimba? Akasema ni Yangu. Daah sikuamini yangu macho kile kipindi.

Kesho nikamwambia sikutaki nenda kwa Bwana wako.

Tulipoteana kwa miaka 5. Mpaka muda huu ni single maza. Msichana mzuri sijui nini kinawachanganya.
 
Sijui hua kuna connection gani kati ya mwanamke na Bad boys, Ni rahisi sana mwanamke kumuamini mwanaume wa hit n run kuliko kumwamini mwanaume anayejitambua.

Nafikiri n kwa sababu, mwanaume anayejitambua hua havutii kimuonekano, hana maneno mengi (uongo) n.k
 
Tangu Bustani ya Edeni (Mwanzo) soma biblia yakoo😅
 
Sijui hua kuna connection gani kati ya mwanamke na Bad boys, Ni rahisi sana mwanamke kumuamini mwanaume wa hit n run kuliko kumwamini mwanaume anayejitambua.

Nafikiri n kwa sababu, mwanaume anayejitambua hua havutii kimuonekano, hana maneno mengi (uongo) n.k
Kama ulipitia kile kipindi cha udungaji na ukaacha ukawa innocent boy ndio utajua utofauti mkuu.

Hao playboys kwanza hawakati tamaa ya kumtafuta mwanamke, atafanya juu chini ampate ila wale wenye malengo nae hahangaiki nae sana akisema No basi ataachana nae atafute mwingine...

Playboys starehe yao ni ngono mara kwa mara, kama pisi inapenda zawadi ili iliwe atatoa, pisi inapenda muda wake ataipa wa kutosha, wewe muoaji unajifanya uko bize na kazi hata mbunye hutonusa.

Playboys wanawaletea wanawake ushindani, yuko na huyu na huku huyu anajua yuko na huyu na anamsifia huyu na kumnanga yule, wewe msamalia mwema unakomaa nae ukimuonesha uaminifu ila yeye anaona ni ukolo.
 
Kuna mmoja hapa kauza mechi kizembe sana!Kisa chuki fulani hivi zilimwingiza kwenye madeni makubwa kishenzi !aliemsaidia ana ngwe ngwe na kaliwa Ili asamehewe deni Sasa full kisrani na kutafutiza !labda kakanyaga miwaya nini!!?
Na bahati mbaya hizo miwaya huwa tunakuwa tu tunaguess flani anao flani anao, ila sasa kuthibitisha! Haya sisi wa pembeni tunaowachuria wenzetu hizo ngwengwe hatunaga ujasili wa kwenda kupima na sisi tujijue tuko in or out
 
Wa kwangu alikuja akiwa na mimba ya miezi mitatu. Nikashtuka kwanza amependeza sana kupita kawaida. Na mimi nina zaidi ya miezi minne bila kukutana.

Nikamuuliza mbona una mimba? Akasema ni Yangu. Daah sikuamini yangu macho kile kipindi.

Kesho nikamwambia sikutaki nenda kwa Bwana wako.

Tulipoteana kwa miaka 5. Mpaka muda huu ni single maza. Msichana mzuri sijui nini kinawachanganya.
MKUU ACHA KUWAONEA MALAYA HURUMA.AMEVUNA ALICHOPANDA😀😀😀

WEWE HUJIONEI HURUMA NA KUJIKANA NA KUAPA KUTORUDIA TENA HIYO TABIA YA KUTUMIA HISIA KUFANYA MAAMUZI KULIKO AKILI.

MWANAMKE NI SHETANI KILA MUDA ANAPANGA KETE ZAKE SAWA ILI USHINDI UANGUKIE KWAKE.WANAUME SISI NI DHAIFU WA KUJITAKIA IMAGINE MTU ANATAKA KUKUBAMBIKIA MIMBA AMBAYO SIYO YAKO NA WEWE UNAONA KAWAIDA TU🤔🤔🤔

AMKENI ACHENI UZWAZWA HIZO NYUSO NA MIILI ILIYOJAA MINYAMA IPO NA WATAENDELEA KUZALIWA WAZURI KILA SIKU.DONT BE FOOLED!!!

📌📌📌NI DARAU KIWANGO CHA LAMI MWANAUME RIJALI KUBAMBIKIWA MIMBA😭😭😭😭😭KAA CHINI UJITAFAKARI NA UANZE KUHUDHURIA VIKAO VYA WANAUME!!!
 
Kama ulipitia kile kipindi cha udungaji na ukaacha ukawa innocent boy ndio utajua utofauti mkuu.

Hao playboys kwanza hawakati tamaa ya kumtafuta mwanamke, atafanya juu chini ampate ila wale wenye malengo nae hahangaiki nae sana akisema No basi ataachana nae atafute mwingine...

Playboys starehe yao ni ngono mara kwa mara, kama pisi inapenda zawadi ili iliwe atatoa, pisi inapenda muda wake ataipa wa kutosha, wewe muoaji unajifanya uko bize na kazi hata mbunye hutonusa.

Playboys wanawaletea wanawake ushindani, yuko na huyu na huku huyu anajua yuko na huyu na anamsifia huyu na kumnanga yule, wewe msamalia mwema unakomaa nae ukimuonesha uaminifu ila yeye anaona ni ukolo.
wanawake wanapenda mashindano hakikisha unampa wa kushindana nae.

Wanawake wanapenda mwanaume anayependwa na wanawake wengine.Hakikisha unao wakutosha atajiunyaunya ila kuliko kuwa na loser man ni bora awe na playboy.
 
MWANAMKE NI SHETANI KILA MUDA ANAPANGA KETE ZAKE SAWA ILI USHINDI UANGUKIE KWAKE.WANAUME SISI NI DHAIFU WA KUJITAKIA IMAGINE MTU ANATAKA KUKUBAMBIKIA MIMBA AMBAYO SIYO YAKO NA WEWE UNAONA KAWAIDA TU🤔🤔🤔
Yes this is soo bad
 
Back
Top Bottom