Habari everyone.
We're too weary... you did it long enough, no more chance for that.
haipiti week mwanaume analeta uzi analia sijui kaachwa, mara sijui anaitwa bahili na vitu kadha wa kadha...
Ni yupi anayebisha ?
Siambi kujipa sifa, tena ambazo sinazo
Hunifuata sharafa, mahali penye mzozo
Wanijua makhalifa, nawachangia mawazo
Kunao wengi magwiji, tena watajika haswa
Kuna mafundi...
MWANAMKE AKIKUAMBIA TUACHANE. MUACHE SIKU HIYOHIYO HATA KAMA ALIKUWA ANATANIA.
Anaandika, Robert Heriel Tz
Mtibeli
1. Usimuulize Kwa nini? Usitake kujua sababu. Amesema mwenyewe. Hukumlazimisha...
Katika Moja ya onesho la Akon, mwaka Fulani, kamera ilimulika jamaa Moja big man, allipo. Kuwa akisikiliza performance ya lonely Kwa hisia huku akilia.
Nyimbo inahusu mwanamke alie amua kuondoka...
Baada ya MKE kurudi kwangu na kuconfess makosa yake yote na yale ambayo nilikuwa sijui...,,,
Na akasema ametambua makosa yake yote ndo amekili ametaka MOYO wake uwe huru...
Na amesema...
Habari za wakati huu wakuu,
Nimekuja kwenu kuomba mtazamo tofauti juu ya jambo ambalo limekuwa likinitokea mara nyingi sasa mpaka nimeanza kujihoji mwenyewe.
Tatizo langu ni hili: Kila...
Taa ndogo ya chumbani ilikuwa ikitoa mwanga hafifu wa rangi ya machungwa, ikimulika nyuso zetu tukiwa tumetazamana kwa ukaribu ambao ulifanya hata pumzi zetu zigongane. Nje, upepo mwanana wa usiku...
Sema ile kauli ya
"Sitaki watoto wangu waje kuishi maisha kama niliyoishi mimi"
Kwa namna moja ama nyingine huwa tunawakosea sana wazazi wetu.
Walijitahidi sana kutupa Kila kitu kwa nafasi zao na...
Ukweli ni kwamba wanaume wenye wake wafanyakazi wanatumia muda mchache sana na wake zao hasa siku za kazi tofauti na wafanyakazi wenza wa wake zao.
Wafanyakazi wa kiume wanakuwa na mke wako kutwa...
Healing
Juzi nilikuwa Nyamagana, ndani ya ukumbi wa Tanzanite, tukizungumza kuhusu healing.
Nikasisitiza jambo moja muhimu sana:
Mtu inaweza kupita miaka 10… na bado hajapona.
Kwa sababu healing...
Watalaam wa sheria nipeni muongozo
Mi kuna mwanafunzi wa VETA hasa wale wanaovaa sare kabisa(long coarse)nimevutiwa nae nafkiria nianze mchakato wa kutupia ndoano.
Sasa nataka kujua kama wale...
Ni rahisi sana kumjua mwanamke ambaye ni bikra kwa kumuangalia tu usoni.
Hii ni elimu tosha sana kwako wewe mdau. Hivi ndivyo viashiria vya mwanamke bikra:
1. Mwanamke bikra huwa anakimbonyeo...
Wakuu mpo salama humu??
Mama yangu anataka nioe tangu mwaka juzi mpaka mwaka huu ila bahati mbaya sijaona mke sahihi wa kuoa, kila nayempata nikiwa naye kwenye mahusiano naona kabisa hawezi kuwa...
Sanamu ya shaba ya kumbukumbu ya Victor Noir, mwandishi wa habari wa Kifaransa aliyeuawa mwaka 1870, ipo katika makaburi maarufu ya Père Lachaise Cemetery jijini Paris.
Kwa miaka mingi, sanamu...
My Take
Mwanaume andaa sehemu ya kwenda kuishi na kushinda baada ya kustaafu Ili walau ufurahie pension vinginevyo utawafurahisha wengine.
Usisahau kufanya vitu vidogo vidogo Kwa Watoto achana na...
Naam si vyema kuingiza yooote kama vile zuzu/fala.
Ili ufanikiwe unatakiwa kuingiza kidogo halafu unasikilizia,, tartiibu utaona jinsi inavyochanganya ndio unaongeza tena kidogo halafu unatoa...
“Wanaume wazuri wanaumia kimapenzi kuliko wabaya? Huu ndio ukweli”
Nimekuwa niki observe mahusiano mengi hapa Tanzania, na kuna kitu kinajirudia mara kwa mara lakini watu wengi hawaongelei wazi...
Huyu ni mwanamke niliyemwelewa sana. Alikuwa na sifa nyingi nilizohitaji. Tulikutana katika kituo cha mitihani ya profession. Kabla ya chochote alikuwa kampani tu ya discussion baadae nikaingiza...
Shikamoon wakubwa
Wadogo zangu hamjambo!
Jamani si kila mtu ana njaa,au ana shida,si kila mwanamke anajiuza,kuuza mwili ni Aina na hulka ya mtu tu Marry Mimi siwezi ,napenda kuwa na mwanaume...