Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kipindi sijaoa bana nilikuwa nikiangalia tamthiliya za wakina kanumba natamani sana nami nikioa itakuwa hivyo. Mungu saidia hatimae nikaoa na nilikuwa vizuri kidogo kiuchumi. Ndoa kubwa...
21 Reactions
74 Replies
2K Views
WARAKA WA WAZI: CIVILIAN COIN ATANGAZA KUOA MWANAMKE BIKIRA( MSICHANA BIKIRA). Salam, nachukua fursa hii kuitangazia Dunia kuwa sijawahi kuwa na Mahusiano ya kimapenzi na mwanamke bikira katika...
13 Reactions
170 Replies
3K Views
NEED👇. WANT👉 Kuna vitu unavyovihitaji na kuna vile vitu unavyotaka.
19 Reactions
115 Replies
2K Views
stori, Mimi ni msichana nimewahi kuwa na rafiki wa kiume hapo nyuma, huyo kaka alikua tu kama rafikiyangu baadae ikatoke tukapendana na kuwa mtu na girlfriend wake I mean tulianza kutoka kama...
4 Reactions
172 Replies
27K Views
Wakuu habarini? huu uzi usomwe na watu wote hata wewe mgeni ambae unapanga kutembelea kusini pita hapa labda utajifunza kitu, Jamani mimi nimeweka makazi huku kusini, sasa km siku 10 nyuma...
17 Reactions
88 Replies
1K Views
Wa kwanza kabisa wanangu kisha wazazi kisha ndugu zangu watumbo moja la mama Na huyu special case "Ba mtu" ki ukweli nampa ila atailipa either in kind or in cash Ukiacha na hizi case zingine...
9 Reactions
31 Replies
429 Views
Hivi mtu unamtongoza anakukubalia unajaribu kumsogeza kunako 6×6 akija anakataa kwakuwa hutaki kumbaka unampetipeti anakaza zaidi unamuacha kumsubiria siku nyingine Baada ya kumuacha anakutumia...
12 Reactions
130 Replies
2K Views
Wakuu poleni na majukumu ya wiki nzima tukiwa tunaendelea kusikiliza ripoti ya jaji chande Nimeona leo tujadili story za hapa na pale kuhusu mapenzi na matukio yake ambayo kiukweli ukiyawazia...
4 Reactions
37 Replies
765 Views
Weekend iyoo Unakutana na mdada, unampenda na moyoni unakua na nia nae nzuri, unamtongoza, anakuambia umpe muda, bila hiyana unakubali..ila sasa kwenye io talking stage ambayo iko ndani ya miezi...
9 Reactions
96 Replies
1K Views
Shikamooni wakubwa kaka, dada zangu na wengine. Mmh Leo Nina furaha nimeamka tangu alfajir najikuta nina mudi ya kazi ,mpaka saa moja kamili nilishamaliza kila kitu kuanzia kufua , kufanya usafi...
10 Reactions
134 Replies
2K Views
Nimekaa nae weekend hii aisee Hajui kabisa kupika vingereza kibao Inawezekanaje mtu Hajui kupika kama Kwa ufundi mkubwa hivi
11 Reactions
45 Replies
1K Views
Wala msihusishe mambo ya mahusiano hata kama una mahusiano yako humu basi yawe mbali na marafiki zako humu Mkishavuana tu hicho kifuniko cha utamu basiiii urafiki umekwisha I thank God for this...
32 Reactions
404 Replies
6K Views
Aisee sijui kanda ya ziwa wanawake wao wana shida gani yaani ni rahisi kumpata msichana bikra kanda ya pwani ila ngumu sana ni kama ngamia kupita kwenye tundu la sindano ndivyo ilivyo ni ngumu...
4 Reactions
43 Replies
2K Views
Ukichagua mwanamke anayefanya kazi ya kuajiriwa, lazima ukubali kwamba hawezi kushughulikia kazi za nyumbani zote. Ukichagua mama wa nyumbani anayekujali na kusimamia nyumba yako vizuri, lazima...
7 Reactions
19 Replies
279 Views
Greetings Hivi wakuu, kwa mwanaume kuonekana uko romantic kibongobongo ni pamoja na kugawa pesa hovyo kwa kila shankupe unalokutana nalo hapa mjini? Iko hivi kuna shankupe flani nilikutana nalo...
19 Reactions
53 Replies
1K Views
1. Siku ya kwanza mnaona kawaida tuu Kila mtu anahisi mwenzake atamtafuta. kisanga kinaanza siku ya pili ya ukimya. 2 : Siku ya pili inaisha hapo Kila mtu anaanza kupata wasiwasi, Kila mtu...
18 Reactions
81 Replies
2K Views
Wakuu nilidhani kutofikia malengo ninayojiwekea ni kwasababu ya kuhonga michepuko hivyo pesa hazikai cha ajabu toka mwaka jana nikablock michepuko yote na kufanikiwa kupunguza gharama za...
5 Reactions
16 Replies
457 Views
Takwimu zinaonyesha kwamba waume wanaowabusu wake zao kabla ya kwenda kazini huishi miaka mitano zaidi. Na pia hupata hadi asilimia 35 zaidi ya kipato kuliko wale wasiokuwa na tabia hiyo...
5 Reactions
36 Replies
694 Views
Kijana tafuta pesa baada ya hapo Sasa tafuta BIKRA wako weka ndani. Endelea Kula Maisha. Sitaki maswali mengi nipo zangu na-meditate hapa.
16 Reactions
120 Replies
2K Views
Back
Top Bottom