scientificall
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 460
- 360
Tuna kama mwaka mmoja na sehemu na ana mimba kubwa tu takribani miezi kama mitatu imepita toka tukubaliane kutogusa simu yangu baada ya kuanza kunidhania vibaya kuwa yawezekana nachati na wapenzi maana mda mwingi nakaa mtandaoni lakini baada ya hapo nae akawa amekubali kuwa kamwe hatogusa cm yang hata aikute inahita hatoipokea mpaka nmwambie.
Sasa mambo yamegeeka juzi jana mimi bila kujua hili wala lile ameibua ugonvi na kuanza fujo akidai alikagua cm yang akakuta message za mapenzi Imekuwa mshike mshike kitu ambacho kiuhalisia hakipo kwani ukiziona hzo msg ni za kawaida sana. Na amedai atakuwa anaikagua cm yangu mda wote iwe isiwe.
Naombeni ushauri wenu huyu mwanamke ana wivu wa kupitiliza nifanyeje.