Nimeuchoka Mwili wa Kibantu

Kasie

Platinum Member
Dec 29, 2013
21,222
36,238
Kitambo kidogoo...

Muda mchache majukumuu kibaooo

Umri unasonga mwili nao huooo jumbaaaa....

Jamanii mwili wa kibantu, nshauchokaa...

Yaani unanenepa sehemu na sehemu tuu...

Mikonoo, uso, mapaja, miguu tuuumbooooooo, tutako nehiiii πŸ˜žπŸ˜žπŸ˜’

Diet sana, mazoezi sanaa ila baada ya mwaka with the same lifestyle consistency asili inarudi palepale....β˜ΉοΈβ˜ΉοΈπŸ™πŸ™πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜•πŸ˜žπŸ˜žπŸ˜žπŸ˜’πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜

Nimechoka kitu kinaitwa asili/ genes.....

I just want to see the little me holding my wine glass every friday 😍.

5EAE35D2-28F3-4BEA-901D-A6D5A8EEDB4C.jpeg

One bottle/man down...

Special kwa wale wanaoulizia kapicha ka kusindikiza uzi....

Kasinde Mabaha.

2022.
 
Tukunyama anauacha mwili wa mahaba na anakuwa mmama sasa!πŸ˜‚

Follow me I have a secret..😎

Waapiiii...
Usimiamini Kiberenge, atakupoteza πŸ˜…

Kwanza mtu mwenyewe kibogoyo (mapengo πŸ˜…)

Fat Granny Matata πŸ˜’πŸ˜’β˜ΉοΈ.
 
Waapiiii...
Usimiamini Kiberenge, atakupoteza πŸ˜…

Kwanza mtu mwenyewe kibogoyo (mapengo πŸ˜…)

Fat Granny Matata πŸ˜’πŸ˜’β˜ΉοΈ.
Leta ubishi wako kaa na unene wako.
 
Itakuwa mzee baba hakupelekeagi moto ndio maana mwili wa kibantu unakuandama.

Ushauri :
Gongwa kutwa mara 3 utarudi ujanani, kitambi kitatoweka ndani ya mwezi tu.

Utakuja kunishukuru
 
Tulia tu wapo wale wa kupenda vitu vizito utaonana nao tu.
Tukunyema mi nilikua mdau siku hizi tu nimeghairi.
 
Back
Top Bottom