Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,601
- 8,707
Kama wewe ninkijana unasafari na ndoto zako na una tamani kufika mbali basi nakukumbusha ni ndoto za vijana wengi kabla yako zilikufa kwa sababu ya kutoa huduma za kimume wakati bado ni marafiki. Na mwisho wa siku hao walio wahudumia walipotelea mitini na gharama na nguvu zote walizo poteza ziliyeyuka kiivo na kuja kustuka umri umeenda na nguvu za kutafuta pesa Kama walizo kuwa nazo awali zikawa hazipo Tena .
Na katika maisha tunaenda mbele tu hakuna siku labda uta pause au ku resume once you lost ndio ushapoteza hivo no way back.
NB
Najua mashoga na Dada poa watakuja na nguvu zote za kuupinga uzi ili kupoteza vijana smart lkn mwisho wa siku kijana anae jitambua atajua nn Cha kufanya.
Najua mababu walio kata tamaa na maisha kwa kuuchezea ujana wao nao hawata kuwa nyuma kuushambulia uzi Ila vijana smart wataelewa Nini ni Nini.
Vijana smart Katu msipotezwe na walio kata tamaa na walio fulia kwa hoja za kizembe na kukatishwa tamaa.
Jipambanieni kwa ajili ya kesho yenu sio wanawake Hawa viumbe wapogi tu ....ukiwa stable kiafya na kiuchumi dunia hii itakua yako Hadi uzeeni hakuta kitu utakosa. Ila kwa Sasa hicho kidogo unacho kipata wekeza hata kwa kununua kuku wa kienyeji mmoja ambae atataga mayai na kuzaliana na kuwa ni hazina yako ya badae ...hiyo elfu kumi unayo mpa demu Kama vocha ambae hauna future naye utaijutia .... Kijana utajiri hauji kwa kupata hela nyingi Bali unakuja kwa kuweka vitu vidogo vidogo na baadae unakua na vitu vingi na kuitwa tajiri. Kwa Sasa onesha ukidume wako kwa kuiboresha siku yako ya Leo iwe tofouti na ya Jana yako .
Sijakukataza kuhudumia wanawake Kama unaona ndio kilicho kuleta duniani we hudumia effective.... Hadi waseme baba basi[emoji1][emoji1] Ila kwa walivyo na tamaa sijui Kama Kuna point utafika watakataa