Kumbe Wanawake wengi wasioitikia salamu sio kuwa hawasikii, ni dharau tu

Jana Ulirudi Usiku

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
2,363
2,261
Salamu humu jamvini!

Nimesikitishwa sana, na hii ndio model ya wanawake tulio nao. Leo nimejua kwa nini huwa wana mute kuitikia salamu.

Hivi mtu humjui hakujui unapata wapu ujasiri wa kumletea nyodo? Unapata wapi? Kweli much of african girls are idiots(huenda lishe duni ikachangia, na utaratibu mbovu wa kula).

Okay sisemi sana jioneeni

FB_IMG_16505914285088193.jpg
 
Mpuuzi mmoja nilisafiri nae toka Tza kwenda huko....Uwanjani nilimsalimia si alijifanya hakusikia yeye aliniangalia toka chini hadi juu.

Fika Macao aliemuahidi kwenda kumpokea hakutokea kumpokea na mawasiliano ndio hivyo....

Kiufupi alinijia kunisemesha nami NILIMUANGALIA ule mwendo wa Ngili meno nje ...(Mbwai na iwe mbwai tuu)
Nilikuja kuonana nae miezi kadhaa kwenye maafali,Aliniangalia hakuni maliza...
 
Back
Top Bottom