EJM_
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 3,836
- 2,090
Siku za karibuni kumeibuka kampeni isiyo rasmi inayoelekea kuwageuza wanawake wote wasio na upeo wa kuelewa mambo kuwa makahaba. Siku hizi imekuwa kawaida kukuta mijadala ya kuaminisha wanawake kwamba lazima upewe pesa na mwanaume kama anataka mahusiano na wewe. Zamani ilikuwa Kwa wapenzi lakini sasa hivi kampeni hii imeingia mpaka kwenye ndoa na ndio chanzo kikubwa Cha ndoa nyingi kuvunjika siku hizi.
Bahati mbaya ni kwamba kampeni hii sasa imewaingiza kwenye mkumbo mpaka viongozi wa dini, viongozi wa serikali na achilia mbali wanaharakati na wale guru wa tabia za namna hiyo. Pia inapewa chapuo na wanaume ambao wanatumia fedha kuharibu mahusiano ya watu wengine.
Mi naamini hasa kwenye ndoa jukumu la kuhakikisha familia inapata mahitaji ni la mwanaume na jukumu la kulea familia ni la mwanamke. Sasa ikifika hatua ya mwanamke kuhisi lazima alipwe ili kufanya jukumu lake Hali itakuwa mbaya sana.
Huku kwenye mahusiano Hali ni mbaya zaidi maana siku hizi baba wa mabinti wanadhalilika Kwa (kutaka kwao) kwasababu kama jukumu la kulea watoto wao hasa wa kike ni la kwao mpaka wanapoolewa, lakini siku hizi jukumu Hilo wanapewa ma boyfriend na mababa wapo wanachekelea. Ndio maana siku hizi ni kawaida kukuta Binti ana msururu wa wanaume.
Anyway hayo mengine hayanihusu ila hofu yangu ni kwamba hiki kizazi Cha makahaba tunachokitengeneza matokeo yake hayatatufurahisha siku za usoni kama tusiposhituka mapema.