Mwanaume anayependwa zaidi

Mwanaume anayependwa zaidi

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,612
Reaction score
65,073
Katika utafiti mdogo nilioufanya kwa warembo wakali saba, nimekuja kugundua; mwanaume anayeweza kulipa 'bill' pamoja na kuwa na uwezo wa kulizungusha gurudumu vizuri; ndio hupendwa zaidi na wanawake.

Uwezo wa kulipa 'bill' pamoja na uwezo wa kuzungusha gurudumu vizuri, vyote vinatakiwa viende kwa pamoja.

Iwapo, kimoja wapo kitapungua; uhusiano uliopo utakuwa na mizengwe mingi.

Njooni kwa mjadala.
 
Back
Top Bottom