Kawaida majimama ndiyo yanahonga; sasa inakuwaje wewe ndiyo unahonga na yanapata jeuri ya kukuambia tuachane?

mikila miwili

JF-Expert Member
Dec 14, 2021
563
553
Habarini!.

Kuna mdau humu amenishtusha na uzi wake, analalamika kuwa alilipata jimama akawa analihonga elfu tano kila siku ya matapu tapu.
Sasa nikawa najiuliza hii imekaaje?

Nikaona nisiache hili lipite hivi hivi, nikaona nijaribu kumsaidia kitu kimoja.

Kwanza nimuulize amewasiliana na Mshana Jr?

Ni ajabu mno na ni dalili ya GUNDU kuambiwa na jimama eti tuachane.

Huyu ni memba anayefahamika kwa jina la Mpwayungu Village(samahani kwa kutaja jina, ready for criticism).

Anyway wenye uzoefu na hili njooni mtueleze hii inatokeaje?

Uzi tayari!

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom