Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu, Nisiweke maelezo mengi sana. Kama wewe unapanda Mwendokasi, nadhan pisi za mule mnaziona zilivyo kali. Yani usipokuwa mvumilivu unawezajikuta unachukua namba za dem mpya kila siku. Hapa...
5 Reactions
36 Replies
4K Views
Wakuu habari zenu! Aisee kuna dada tumefahamiana wakati yeye akiwa katika harakati za kuuhesabu na kuweka postcode katika makazi! Alinikuta home nimechill tuukapiga story 2,3, na kubadilishana...
20 Reactions
77 Replies
7K Views
Kwa kweli simu zinaweza kuonekana na umuhimu wake lakini kuna uharibifu pia zimeleeta katika suala zima la mahusiano. Zamani ile process ya kumsubiria binti chini ya mti kwa masaa ukiombea labda...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Tunatakiwa tujifunze na tuheshimu hisia za mtu; pale tunapokataliwa tuwe na subra ya kusubiri kitakachojiri. Kwa asili ya binadamu, hapa utakataliwa na kwingine utakubaliwa; na hii inasababishwa...
12 Reactions
17 Replies
1K Views
Huyu dada ndo amenambia hayo maneno. Baada ya kuniomba tena leo kwa mara nyingine lunch twende wote. Jana aliniomba twende lunch akalipia akaomba kulipia pia. Tulibishana sana na akawa mkali kuwa...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Jana nikiwa kwenye daladala aliingia mwanamke mmoja hv wa kiislamu hakika ni mashaallah,alikaa pembeni yangu na harufu ya udi aliyojipiga ilinivutia sana nikatamani kama safari isiishe hadi...
9 Reactions
259 Replies
31K Views
Hawa alipata alipata danga, w alikutana kwenye kijiwe cha chips kwakua alitoka kazini na kukumbuka nyumbani gas imekwisha aliona ni kheri ale chakula cha jioni na ya gas ata ya solve kesho yake...
5 Reactions
15 Replies
955 Views
Habari wapendwa wa jukwaa la MMU. Mada yangu leo kwa nini wanawake mnapokosewa na wapenzi wenu ama waume zenu mnapenda kuwaadhibu kwa kuwanyima kipande cha mwili ( Papuchi)? Hii mie naona sio...
5 Reactions
74 Replies
9K Views
Mwaka 2014 nilipata safari ya kikazi Mbeya, Baada ya (TBA) kishindwa mradi wa soko la Mwanjelwa ilabidi tuingie mzigoni kukamilisha mradi huo. Wakati tunaendelea na ujenzi huo ikatangazwa tender...
25 Reactions
70 Replies
8K Views
Mapenzi huwa hayachagui, unakuta kijana amefika amekwisha kwa dada wa kazi. Mara nyingi mama akisikia habari hii huwa anaona kama inamshushia heshima katika jamii inayomzunguka. Wengi wanapenda...
13 Reactions
30 Replies
4K Views
Salaam sana jf Imekua kawaida kwa hali ilivyo kwa sasa,kila tunakozunguka ktk maisha ya kawaida tunakutana na mijadala na hotuba mbali mbali za kumnyanyua mtoto wa kike ktk masuala kadhaa wa...
13 Reactions
19 Replies
2K Views
Wakuu samahani kwa mada hii, sijui kama napitia peke yangu au laa, mimi nimeoa na mke wangu hana tabu mstaarabu tunaishi vizuri tu tunataniana sana na ucheshi wote, tuna mtoto mmoja. Shida ni...
15 Reactions
110 Replies
14K Views
Hii ni maktaba nayowaletea kwenu nikijikumbushia mbinu kadhaa nilizowahi kuzifanyia practical. Njia hii ilikuwa ni kwamba ni lazima kuwe na mabinti wawili marafiki, nachofanya nawalinganisha...
2 Reactions
3 Replies
984 Views
Jamani mimi sielewagi shida ni nini, sometimes unaweza pata kijana mzuri tuu na unaona kabisa anatabia njema za kufaa kuwa hata mume/mke lakin mara nying hao ndo tunaowa push away. Mimi...
22 Reactions
549 Replies
35K Views
Heshima yenu nyote wapambanaji wenzangu.Matumaini yangu mmeamka na mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku. Tuje moja kwa moja kwenye mada. Ipo hivi ukitaka kufa masikini kama unafamilia...
14 Reactions
11 Replies
2K Views
Kuna dada nilikutana naye mtaani nikaona anafaa kwa chakula. Nikamwomba namba nikawa nachati naye kama mwezi hivi nikaweka ombi langu akakubali. Issue ikawa kutoa mzigo kila mkipanga ratiba...
87 Reactions
340 Replies
37K Views
Hello wanajamvi, Natumai mko poa kabisa na mnaendelea vema na weekend!! Kwa wale mashabiki wote [simba na yanga] nawatakia ushindi lakini sipendi yoyote afungwe for the sake ya furaha ya marafiki...
10 Reactions
146 Replies
11K Views
Hali zenu? Hii hali ninayo tangu nikiwa form 6. Wasichana niliowahi kutembea nao wote wana ngeu mpaka muda huu, japo sio kubwa ni ndogo ndogo tu, kwenye maeneo kama vile kifua, uso na mapaja...
4 Reactions
38 Replies
3K Views
Kwanini wanawake wakiachika ndio wanaanza kujitunza na kujiweka safi na wanakuwa pisi kali Haswa! Lakini akiwa ndani anavaa kama Anaenda kuuza mbogamboga au ndio Mazoea. Najua wengi hapa...
9 Reactions
53 Replies
3K Views
Huyu ni mwanamke niliye mpenda sana bonge, tipwa tipwa tandamu haswa. Anajoto hatari, nude imejaa (imevimba) Akifika geto muache nusu saa apumzike kwanza, anapenda kususa. Akianza kusaula...
6 Reactions
46 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…