Rafiki yangu wa kike haeleweki anataka nini

Rafiki yangu wa kike haeleweki anataka nini

April26

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2020
Posts
1,405
Reaction score
2,163
Wakuu habari zenu!

Aisee kuna dada tumefahamiana wakati yeye akiwa katika harakati za kuuhesabu na kuweka postcode katika makazi! Alinikuta home nimechill tuukapiga story 2,3, na kubadilishana namba za simu kirafiki sana basi.

Baada ya siku kadhaa chemistry ikazidi kukuwa na sasa tuko na ukaribu sana na ni baada ya mimi kupendezwa nae nikamtokea, japo hajasaini mkataba wa mapenzi lakini haninyimi nafasi pale napohitajii muda kubadilishana mawazo na yeye ni kama sitaki nataka hivi. Na ni mzuri sana ana kazi yake nzuri tu wala sio ombaomba kama walivyo wadada wengi nowdays. Anajiheshimu.

Juzi tukiwa naye nikamuomba simu yake, pitapita nikaona app ya jf nikaingia bahati nzuri alikuwa hajalog out, nikafanikiwa kuingia hadi kwenye timeline ya threads zake, kiumbe huyu amewahi kutafuta mwenza hapo love connect, sasa nikasoma sifa/wasifu anaotaka nikajitathimini nikaona ninazo kwa 95%, basi nikakausha nikampa simu yake nikawaza kumbe ana uhitaji kweli. So nini kinakwamisha asisaini ombi langu japo dalili naziona but muda ni mrefu sasa,,,,, then kitambo kidogo nikaendelea kuyumbisha [emoji848][emoji848][emoji848] ninashangaa anasema nanukuu "ujue mimi nina mme wangu wa ndoa na huwa anakuja kila weekend" mwisho wa kunukuu. [emoji848][emoji848]

Lakini ukweli ni kwamba hana mme, nikaona isiwe tabu nikasepa, sio mara moja akitaja ana mme wake, so nimejiuliza maswali mengi!!

  • Hajui anachotaka?
  • Ana enjoy watu jukwaani?
  • Ni stress za mahusiano?
  • Hajapata anaemgusa moyo?
  • Muda wake haujafika anajaribu?
  • Ama ni nini?

Jana kanipigia simu kuniuliza niko wapi , ilikuwa mida ya saa 1 jioni hivi, nikamjibu niko mtaani kwetu akasema sawa, nikauliza kulikoni akasema alijuwa nipo karibu na mtaani kwake nisogee tupige story kuimaliza weekend!!

Kiukweli nampenda na nishamwaga maneno kiasi anapenda mara nyingi kupiga stori na mm but appointments Zangu anatolea nje!!!

NB: MIMI SIO MSHAMBA WA MAPENZI BALI NATONGOZA KIDEMOKRASIA NA KIDIPLOMASIA ZAIDI, DEMU HATAKI NAJIWEKA PEMBENI , AKIONYESHA UTAYARI NAREACT POSITIVELY..

Nimeandika akiona aone, potelea pwete!!!,,, sijataja mtu,,,,[emoji3]

Najiuliza anataka nini huyu??
 
Mwambie akaonane na wataalamu wa psychology. Unaweza kuta ana tatizo la akili. Mojawapo nalifahamu linaitwa multiple personality disorder. Anakuwa na nafsi zinakinzana ndani yake. Moja inamwambia fanya jambo hili nyingine inamwambia fanya jambo lingine.
 
Sawa chief
 
Oyaaa.....mkome mke wangu, kashakwambia ukweli kaolewa na mie ndo mumewe hutaki kusikia.

mke anauma ooh...cheza mbali kijana achana na mke wangu. [emoji23]
Basi hakupendi mkuu. Anahangaika huku.
 
Wewe ni Domo zege

Ni wale jamaa wanaotongoza Dem alafu Dem anawambia nitakupa jibu , siku zinaenda, huku Dem akaendelea kulana na jamaa wengine.

Yaan Kwa maelezo ulomuelezea huyo demu ... Ingekua ni zama zangu, ningeshamla tayarim
Acha uongo wewe ndo domo zege kabisa atii,kwani lazima nimle mm?? Uushakula wote duniani wewe?[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Wadada wa mjini wajanja sana,huyo ni wale wanaopenda kuwa na wanaume zaidi ya mmoja.

Ogopa sana demu anaekwambia ameolewa wakati sio kweli

Jiandae kupangwa
Kwa hii mbungi inayochezwa,,,hatoboii[emoji1]
 
Acha uongo wewe ndo domo zege kabisa atii,kwani lazima nimle mm?? Uushakula wote duniani wewe?[emoji3][emoji3][emoji3]

Sure kataaa KUBALI wee ni Domo zege .. nikikunukuu

NB: MIMI SIO MSHAMBA WA MAPENZI BALI NATONGOZA KIDEMOKRASIA NA KIDIPLOMASIA ZAIDI, DEMU HATAKI NAJIWEKA PEMBENI , AKIONYESHA UTAYARI NAREACT POSITIVELY..

Mwanamke yoyote unayemuona, kichwan kwake ana natural flaw ambazo wewe Mwanaume ndo unabidi uziexploit .

Wakati huohuo mwanamke yoyote unayemuona ana defense mechanism zake dhidi ya kutoonekana ni Malaya, mwepesi, kajirahisisha , msaliti wa mumewe/mpenzie N.k.,

Hii inamaana siku zote kwenye kumtongoza, lazima akuwekee kauzibe, hata kama yupo singo lazima akuwekee kauzibe ili kuniongezea Value machoni Pako.

SASA ULIVYO BONGO LALA, KWAKUA KAKUJIBU IVO, NAWEWE UNATULIA !

Et "Natongoza kidemokrasiaa " ...... Kwa staili hiyo utapiga sana punyeto , wewe Kwa ufupi ni mwoga, alafu niwale jamaa mkipata mwanamke, mnapigwa magoti nakushukuru.
 
Falaaaa sana wewe kijana [emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom