Unayempenda hakupendi na usiyempenda anakupenda

Bree77

Senior Member
Apr 5, 2022
177
262
Jamani mimi sielewagi shida ni nini, sometimes unaweza pata kijana mzuri tuu na unaona kabisa anatabia njema za kufaa kuwa hata mume/mke lakin mara nying hao ndo tunaowa push away.

Mimi nimemaliza chuo mwaka jana bana, sasa kulikua na mkaka ananipenda sana na kuniheshimu yan anaweza akaomba kunitoa out na kuspend na mm kwa hela zake lakin akiomba tunda hata ukimnyima alikua n muelewa sana.

Sasa kipind cha graduation aliniandalia zawad ya lunch mm Pamoja na familia yangu na akalipia yeye, cjui photoshoot make up alilipia yeye .

Sasa kwenye family lunch na yeye alikuja kwenye story mbili tatu akamwambia mama angu ananipenda na anataka kunioa, huwezi amini niliropoka maneno yule kaka alijisikia vbaya sana lakini kutoka hapo tukawa bado tunachat vizuri tuu kuna siku tena akaileta hiyo mada nilimuakia moto till today yule kaka ananitafutaga tuu kunijulia hali.

Alikua mtu mzur sana ukiwa na shida ya hela anakupa lakini ndo hivo sikuwah kuwa na hisia nae hata kidogo.

Je, wewe mkasa wako ni upi, uweze kushare na sisi kuhusu mtu aliwahi kukupenda na wewe hukumpenda. TIRIRIKA
 
Me yalinikuta niko form five mkaka tunapendana huyo ila ye alikua kamaliza chuo na ana KAZI yake nzuri ananiambia anataka anioe

Anasema nikienda chuo naweza kumwacha wee kiukweli nami nilikua nampenda nilipata wakati mgumu niache shule ILI niolewe au niendelee na masomo

Nikaka chini nikafikiria kuhusu ndoto zangu na nikaona nina mengi ya kuyafanya mwenyewe kabla ya kuwa mke wa mtu ndio nikaamua kumbwaga chini na kuendelea na masomo SASA sijui yuko wapi japo namkumbukaga
 
Me yalinikuta niko form five mkaka tunapendana huyo ola ye alikua kamaliza chuo na ana KAZI yake nzuri ananiambia anataka anioe anasema nikienda chuo naweza kumwacha wee kiukweli nami nilikua nampenda nilipata wakati mgumu niache shule ILI niolewe au niendelee na masomo nikaka chini nikafikiria kuhusu ndoto zangu nikaamua kumbwaga chini na kuendelea na masomo SASA sijui yuko wapi japo namkumbukaga
Haya babe ndoto zako na ww zimetimia ?
 
Me yalinikuta niko form five mkaka tunapendana huyo ila ye alikua kamaliza chuo na ana KAZI yake nzuri ananiambia anataka anioe anasema nikienda chuo naweza kumwacha wee kiukweli nami nilikua nampenda nilipata wakati mgumu niache shule ILI niolewe au niendelee na masomo nikaka chini nikafikiria kuhusu ndoto zangu na nikaona nina mengi ya kuyafanya mwenyewe kabla ya kuwa mke wa mtu ndio nikaamua kumbwaga chini na kuendelea na masomo SASA sijui yuko wapi japo namkumbukaga
Niko hapa niliishaowa siku nyingi
 
Back
Top Bottom