Namkumbuka sana bonge wangu

mbuyao

JF-Expert Member
Dec 25, 2021
209
333
Huyu ni mwanamke niliye mpenda sana bonge, tipwa tipwa tandamu haswa.

Anajoto hatari, nude imejaa (imevimba)

Akifika geto muache nusu saa apumzike kwanza, anapenda kususa.

Akianza kusaula anasema angalia huko usinichungulie, anapenda kula mapochopocho sana.

Mkianza kunyanduana katika ya mchezo anaomba maji!

Daaaah ukiwa una date na watu wanene usiwe na hasira, maana wana jua kukela, ila wana upendo sana ni waaminifu sana, maana hawapendi maumbo yao (minyama) aone kila mwanaume, hivyo kuchetupa nadra sana, nawapenda sana mabonge, tipwatipwa, niwatamu baraaaaaaa.
 
Umeenda sawa koote, ila swala la uaminifu sio ubonge mkuu ni hulka ya mtu usijidanganye kabisaa

Kuna mabonge na wanat@mb£$ha tu
 
Back
Top Bottom