Wanawake kwanini Wanaume wanapowaudhi mnakimbilia kuwaadhibu kwa kuwanyima unyumba?

mahirtwahir

JF-Expert Member
Jan 12, 2013
613
311
Habari wapendwa wa jukwaa la MMU.

Mada yangu leo kwa nini wanawake mnapokosewa na wapenzi wenu ama waume zenu mnapenda kuwaadhibu kwa kuwanyima kipande cha mwili ( Papuchi)?

Hii mie naona sio sawa unamkutia mwanamke anakununia na kukukomalia eti sikupi kwa kuwa umenikera sasa iwe kweli nimekukera hi ndio adhabu yake na kama nimekukera na wewe huoni kama unaendeleza makero kwa kunikera na mimi.

Hii ni sawa na kinyesi kufunikwa na kinyesi kitakachoendelea si mchanganyiko wa harufu tuuu.

Hebu fikiria mwenza wako akienda kutafuta huduma kwengine jeee atalaumika? Wewe uendeleee kubana mapaja yako.
 
Hujui usemalo, hakuna maisha ya kuchekelea na kufurahi kila siku, mkiwa na akili mtatofautiana hata kidogo labda muwe villaza wote.
Kutofautiana huimarisha mapenzi mno.
Sakayo changia hapa
Wewe na dogo lako @shunie
Kweli kabisa vinagongana vikombe sembuse binadamu wanaolala shuka moja

Halafu nani anakuficha hivi eti
 
Habari wapendwa wa jukwaa la MMU.

Mada yangu leo kwa nini wanawake mnapokosewa na wapenzi wenu ama waume zenu mnapenda kuwaadhibu kwa kuwanyima kipande cha mwili ( Papuchi)?

Hii mie naona sio sawa unamkutia mwanamke anakununia na kukukomalia eti sikupi kwa kuwa umenikera sasa iwe kweli nimekukera hi ndio adhabu yake na kama nimekukera na wewe huoni kama unaendeleza makero kwa kunikera na mimi.

Hii ni sawa na kinyesi kufunikwa na kinyesi kitakachoendelea si mchanganyiko wa harufu tuuu.

Hebu fikiria mwenza wako akienda kutafuta huduma kwengine jeee atalaumika? Wewe uendeleee kubana mapaja yako.
Tena usipende kumuudhi udhi, hasa akiwa mpya! piga kazi akishakuzalia pure 5 chicks, zako mwenyewe, akikunyima tu kapuyange, kwa dogdogo! ni kazi yake kukubembeleza wewe sasa, bila hivo ataipeleka huko kwa Hassani- Genge la mpemba hayaa!
 
ut
Acha ubwege mkuu, nyuchi zote hizi wewe unakaa kubembelezea moja? Mimi akisema hivyo atabaki anashangaa, simuombi game hata siku moja na ataona naendelea kung'aa tu:D. Atarudi mweenyeeweee
apigiwa mpaka ukome, yeye nae si anaipeleka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom