Nilighairi kumuoa binti baada ya kugundua amekeketwa

666 chata

JF-Expert Member
Mar 14, 2013
1,688
3,815
Wakati flani, miaka kadhaa nyuma nilikutana na binti mrembo, mdogo na mzuri haswa, alikua anatokea kabila flani la watu wa kaskazini wale ambao wapo kama wazungu hivi. Alikua ana utulivu wa akili, mpole na ananitii sana, shida ikawa ni ngumu sana kwenye kufanya mapenzi, nimeshapanga appointments nyingi bado aliziruka mara nyingi akitaka tukutane mahala ambako sio rafiki kwa wapenzi.

Mambo yakawa mengi, mengi yakawa mambo basi siku akajitosa mwenyewe tu usiku flani nikamla sana sana usiku mzima na k. ilikua ina tight tu na kwa usiku ule kuna wakati alikua ananiwekea mipaka hasa nikitaka kufanya mautundu na nini, sikujali wala sikufikiria tofauti hasa ukizingatia mtoto mwenyewe nilikua nimemsotea hadi kumvua chupi.

Siku zikaenda, basi akawa nae amezoea anaona kama hakuna tofauti, akaanza kuja mchana, siku za mwanzo mwanzo mchana nikaona kama kuna tofauti na k. zingine nilizo zizoea but haikuniumiza sana hasa ukizingatia binadamu wana maumbo tofauti na mie mwenyewe nsha lost the count ni wangapi nimepita nao! So mchana mmoja tupo gheto tunapiga story huku tunacheki TV ndo tukaona kipindi kimoja kwenye local channel wanazungumzia ilo swala alaf ni kabila lao huyu demu, sasa nikamuuliza "baby au na wewe walikufanyia hawa watu eeh maana kabila lenu na nyie looh mababu hawana adabu kabisa", jibu lake ndio nilichoka, akajibu straight "baby mimi walinikata nusu tu sehemu zingine zikabakia".

From that day zuka lika kata mazima, ni ukweli nilikua nimepanga kumuoa ila hio kasoro hapana aisee, she was so innocent ila tayari mabibi wa kabila lile walishamuamulia aweje aweje, na kua na mke tu ulikua kwamba tayari amekatwa antenna hii ni noma mazee, nikasema mwokozi ntoe roho niepushe hili balaa.

Ilikua ngumu na hata mie nilikua nusu kwa nusu, ila baadae akaelewa akagundua hapa hakuna jambo, ameolewa siku hizi na ana ka kid na jamaa wa kabila lake ambao kwao antenna sio jambo la muhimu sana.
 
Case yako inafanana na yangu 100%

Nilimuacha binti mkali wa kigogo (kabila,siyo Yule wa Twitter) kisa ametolewa antenna.Alikuwa na sifa zote,Sura nzuri,mguu wa bia km wa Chakorii ,shepu na mzigo wa maana,Ila kinanii ndy kilitolewa

Sikudumu nae,maana nilikuwa km natwanga maji kwenye kinu,alikuwa ananiangalia Tu wakati wa kunanii
 
Bora umestuka mapema maana hawafikagi kileleni, hata upigeje...
Huko nikujipendekeza sasa😂😂😂😂 cha muhim we umemwaga na mimba inatungika na malezi bora bora watoto wanapata ayo mengne akiitaji kisingizio kipo
 
Daah! Mkuu na mimi kuna kademu ninako kameniganda barahaa..!

ila kamekeketwa alfu kalivyo kajabu, kila siku kananipa habari za kuona daah!! Nahic uchizi

nafikilia wenda kanaweza kunitegeshea mimba. natka nikateme mdogo mdogo kiukweli nakaonea huruma

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Case yako inafanana na yangu 100%

Nilimuacha binti mkali wa kigogo (kabila,siyo Yule wa Twitter) kisa ametolewa antenna.Alikuwa na sifa zote,Sura nzuri,mguu wa bia km wa Chakorii ,shepu na mzigo wa maana,Ila kinanii ndy kilitolewa

Sikudumu nae,maana nilikuwa km natwanga maji kwenye kinu,alikuwa ananiangalia Tu wakati wa kunanii
😂😂😂😂😂looh
 
Daah! Mkuu na mimi kuna kademu ninako kameniganda barahaa..!

ila kamekeketwa alfu kalivyo kajabu, kila siku kananipa habari za kuona daah!! Nahic uchizi

nafikilia wenda kanaweza kunitegeshea mimba. natka nikateme mdogo mdogo kiukweli nakaonea huruma

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Yeah mkuu, yaan unakua unamuona huyu ni innocent kabisa, na alifanyiwa kitu icho bila ridhaa yake, lakini sasa kusikia tu kwamba mpenzi wako hana antenna ata awe mzuri vp au anakufanyia nini inakata sana stimu.
 
Futa kauli D,wanafika tena vzr tu.Ila mwanaume uwe fundi sio kwenye miguso muhimu.Kuna mmoja namkojoza mpaka anazimia na ana enjoy balaa. Ananipendaaaaaaaaaaa hadi namhurumia
Sasa mwisho wa siku itakua nini? Uta muoa?
 
Mimi nilikuanae mmoja wale weupeweupe wa kutokea kondoa aisee hata umuandae vipi k yake hailoi inakua kavu mno yaani mpaka umpake mafuta ya nazi kwenye k yake na wewe dushe ulimwagie mate ya kutosha au unyunyizie mafuta ya nazi ndo inapenya bila kufanyahivyo utachubuka kisawasawa

Ilifika wakati bila mafuta ya nazi au mate si mgegedi hata ukitumia kondom yale mafuta yakikauka tu inabidi uandae mate ya kutosha au mafuta ndo utaenyou show

Dah nikaona kama mateso asee ikabidi nimteme tu kiaina
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom