Nikiguswa kidogo tu na mwanaume nalegea ghafla, muda huu nimeponea chupuchupu

Sauda

JF-Expert Member
Jun 26, 2018
860
1,106
Jamani mimi hata sielewi!
Ni kwamba hili ni tatizo au? na kama ni tatizo, nitalitatua vipi mimi nikipapaswa kidogo tu au nikiguswa hapa na pale na mwanaume, tayari nguvu zinaniishia, nakuwa sijiwezi.

Jamani naombeni msaada wenu, maana hii hali inaninyima uhuru wa kukaa karibu na mwanume yeyote nahofia akinigusa tu, mimi tayari nguvu sina, na hapo kama ni mwanaume mwenye uchu wake, atanifanyia vibaya, na mimi sipendi.
nisaidieni sana jamani, maana siko huru kukaa karibu na wanaume.
 
Jamani mimi hata sielewi!
Ni kwamba hili ni tatizo au? Na kama ni tatizo, nitalitatua vipi?

Mimi nikipapaswa kidogo tu au nikiguswa hapa na pale na mwanaume, tayari nguvu zinaniishia, nakuwa sijiwezi.

Jamani naombeni msaada wenu, maana hii hali inaninyima uhuru wa kukaa karibu na mwanume yeyote.
Nahofia akinigusa tu, mimi tayari nguvu sina, na hapo kama ni mwanaume mwenye uchu wake, atanifanyia vibaya, na mimi sipendi.
Nisaidieni sana jamani, maana siko huru kukaa karibu na wanaume.
Mh!!!
 
Nenda jkt
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom