Vijana wa kiume kushinda gi kutafuta six paki kwa ajili ya kuwavutia majimama

walitola

JF-Expert Member
Nov 28, 2014
4,796
5,520
Habari wakuu, naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika.

Kumekuwa na katabia asa kwa vijana wa kiume kushinda jim na kutafuta six paki kwa ajili ya kuwavutia kina mama, katabia aka kameshamili asa kwenye miji kama dar es salaam, moshi n.k, sasa baada ya kakifua kutanuka kidogo vijana hawa uenda saluni za kike na kuongea na wadada wa hapo saluni kwa ajili ya kuwaunganishia mijimama alimaarufu shugamami, sasa katabia aka kamekuwa kanakuwa kwa spidi ya treni ya umeme. je uko kwenu hali ipoje amjasikia vitabia kama ivyo. Naomba niishie hapo nitakuja kuleta kisa fulani kilichowai kutokea uko nyuma ambacho kinausiana na huu uzi nilioposti hapa.
 
umemaliza home work???
 
Mm Sina hat six pack Nina one pack moja tu ila Niko na jimam fresh tu
 
Mkuu acha wivu, Kila mtu na namna yake ya kutafuta ugali, wengine msingi kiuno
Habari wakuu, naomba niende moja kwa moja kwenye mada husika.

Kumekuwa na katabia asa kwa vijana wa kiume kushinda jim na kutafuta six paki kwa ajili ya kuwavutia kina mama, katabia aka kameshamili asa kwenye miji kama dar es salaam, moshi n.k, sasa baada ya kakifua kutanuka kidogo vijana hawa uenda saluni za kike na kuongea na wadada wa hapo saluni kwa ajili ya kuwaunganishia mijimama alimaarufu shugamami, sasa katabia aka kamekuwa kanakuwa kwa spidi ya treni ya umeme. je uko kwenu hali ipoje amjasikia vitabia kama ivyo. Naomba niishie hapo nitakuja kuleta kisa fulani kilichowai kutokea uko nyuma ambacho kinausiana na huu uzi nilioposti hapa.
 
Vijana hawana Kazi na Waliaminishwa Na Serikali wasome kwa Bidii wawe na Maisha Mazuri. Sasa Hawakwenda na Akili Nyingine ya Maisha shuleni zaidi.

Matokeo yake wakirudi mtaani Ajira hola wanatafuta "kamseleleko" sasa kwa Wamama Wasiojielewa au Wajane wenye Pesa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom