Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mtu anakaa single kisa avatar yake. Mtu anaweka fisi anayehema sijui mwingine mjusi aliyebanwa mlango sasa wewe kama upo serious kwanini usiweke bendera ya Tanzania hata ziwa victoria. Niambie tu...
31 Reactions
303 Replies
15K Views
Habari wakuu. Nimeonelea niandike kuhusu kisa hiki cha aibu ambacho sijawahi kumsimulia mtu ili wana Jamiiforums wote tuweze kujifunza madhara ya kukosa uaminifu na ku-cheat kwa mke/mume au...
12 Reactions
38 Replies
6K Views
Nimekuwa nikitafakari kwa muda sasa. Kwanini familia za waafrika bila dada wa kazi au housegirl mambo hayaendi? Mke atalalamika, nyumba itakuwa chafu, chakula hakitaiva kwa wakati yaani mambo...
12 Reactions
89 Replies
7K Views
Mitaa ya saa 2 hivi usiku niko nje mitaa ya home Kuna grocery tunapiga mbili tatu na washikaji zikaibuka pisi mbili zimekaa zimesimama pemben ya barabara kama dakika 10 hv bado wamesimama nikaona...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Imekuwa kawaida ya watu kuachana kwa fujo, magomvi na wakati fulani matusi, lakini Kuna namna unaweza kuitumia mkaachana bila ugomvi wala kuparurana kama hivi...
10 Reactions
108 Replies
7K Views
Bongo Hapa Unakuta Mama mtu mzima miaka Kama 30+ lakin hanashindwa hata kununua Godoro la 150k anachoweza Ni kumiliki infinix toleo la 2019 . Mtu umri umeenda kapiga 30 maji ya jioni badala...
0 Reactions
4 Replies
584 Views
Wakuu mimi hapa nimekaa Mtaani Almost Two years lakin that time nilikuwa Chuo naongeza Maarifa ya kitu flan. Sasa Mimi hapa Kama kijana nimeamua kumtanguliza Mungu na kujituma katika Maisha yangu...
9 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wanajf wenzangu Hili swali nimekuwanikijiuliza Sana bila hata kupata majibu. Binafsi mimi ni mkristo na nimedate na wanawake 8 mpaka right now na katika hao wanawake 8 niliwahi kudate...
35 Reactions
373 Replies
29K Views
Hii ni kwa wanawake tuu yani wanaume haiwahusu: Nahitaji mwanamke ambaye mungu akipenda ndiye atakuwa mke wangu. Njoo pm kama ni muhitaji nitumie sms huko tukielewana utapata namba zangu za simu...
9 Reactions
60 Replies
5K Views
Kama wanavyosema kuwa jinsia KE hatutabiriki wala hatuaminiki, nyie Jinsia ME nini huwa kinawakuta? Nini hicho mmefanyia dada wa watu? So painful[emoji174][emoji174] NB: Linda aliyetajwa humo na...
18 Reactions
321 Replies
27K Views
Sitaki kuandika maelezo marefu sana naenda moja kwa moja kwenye Mada maana kichwa kimechemka:- Huyu demu nilikutana nae kimwili mwishoni mwa mwezi wa saba, ndani ya mwezi wa 8 akaniambia hajaona...
15 Reactions
154 Replies
8K Views
Unapoleta tangazo kusema unatafuta mume au mke mkristo jitahidi uwe specific kwani sasa hivi ukristo una madhehebu mengi, mfano ORTHODOX ROMAN CATHOLIC LUTHERAN ANGLICAN PENTECOSTE HUDUMA ZA...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Ngoja mje kutuletea visa vyenu.... Miaka kadhaa iliyopita kipindi nakua kua, zawadi hii ilitokea ghafla bin vuu kwa upande wangu, lakini issue ilikuwa planned na marafiki zangu pamoja na yule...
5 Reactions
18 Replies
6K Views
Habari Wanajamvi? Naandika huu uzi nikiwa sina rahaa kabisa kwa tukio lililotokea leo asubuhi saa 4 asubuhi. Story inaanza hivi baada ya kumpiga kibut handsome aliyenigegeda mpaka nikaomba pooh...
40 Reactions
606 Replies
47K Views
Na ndipo napata kuamini kwamba kumbe hata mwanamke mwenye miaka zaidi ya 30 anaweza kuolewa vizuri tu! Kikubwa ni ku fall in love (Sina maana kuwa thirty plus mjipe moyo, ila ni kwa vile...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Yaani huyu mtu sio wa humu nimefundishwa humu niache umalaya wa mdomo nije kusocialize. So kuna jamaa yangu mmoja anamzungu huyu jamaa alitoka tz akaenda kusoma sasa kwa miaka mingi akarudi na...
0 Reactions
12 Replies
633 Views
Za muda huu wanajamvi... Asubuhi hii nilipanda dala dala na kwa bahati mbaya nikasimama sana kwa kukosa seat. Route ilikuwa ndefu, kutoka K/Koo mpaka Mabibo. Kwa bahati nzuri nikapata seat baada...
5 Reactions
60 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu Nakumbuka ilikuwa 2019 wakati natafuta mwanamke wakuingia nae kwenye mahusiano ya mapenzi, nilikutana na manzi mmoja kwenye daladala nikamuomba number ya simu akanipa nikawa...
21 Reactions
85 Replies
6K Views
Nipo dar kimakazi na mtu mzima ninayejielewa kimaisha na kifamilia na natafuta mwenza anayejielewa na asizidi umri was miaka 55t tuwasiliane kwa namba 0784355760
3 Reactions
15 Replies
952 Views
Baada ya kumaliza chuo vipaumbele vyangu vilikuwa ni fedha na mali bahati nzuri nimetafuta na nimezipata kwa sasa nina uwezo wa kutunza familia kwa asilimia mia moja hivyo Napenda...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom