Kazi ya ugaguzi ina vitengo vya customer care, ushauri nasaha, afya, ndoa na mahusiano..... Si kila wakati ni matunguli na vibuyu... Kuna nafasi pia za kuangusha moja moja.. Na kufanya...
1. Siku hizi kuna Wanaume kwani?
2. Sina hata haja na Wanaume.
3. Watoto nilio nao ndiyo Faraja yangu.
4. Wanaume wa nini wakati Wote ni wale wale tu.
5. Natafuta tu Mwanaume wa Kuzaa nae ila...
Marriage is a union of two individuals who become one living entity via their marriage. One thing we should be aware of is that not everything in this world is suitable for everyone. As a result...
Wakuu, huko kwenye twitter nimeona wanaume wakimshambulia Ndugu Chris Mauki kutokana na bandiko lake aliloweka huko kuwa wanaume ambao wanaombwa hela na wake zao na kusema kuwa kuna Jambo...
Hello everyone,
I am looking for a wife material, mrembo, anayevutia hasa..its my hope that I will meet you here..kama tukimatch vizuri tutafunga ndoa kubwa mwaka huu huu...maana ndoa yangu...
Hamjambo.
Neno langu ni moja tuu msitoe mimba hii itawagharimu sana kwenye kutafuta mtoto pindi umeshaolewa au unahitaji kupata mtoto. Mwenye kusikia na asikie asiyesikie aendelee.
Leo sina hili wala like Naona txt kutoka Kwa Bby ikinitakia Heri Siku ya Baba Duniani..
Kiukwel Mpenz wangu ni mzuri sana hakuna anayemzidi mpenzi Wangu kwenye hii Duniani Ndo Maana nitachit...
Nimekua kwenye mahusiano na mdada mmoja tangu 2009, kipindi hicho bado watoto wadogo kabisa ndo t umejuana then tukawa tunawasiliana tu kwa simu
Na kuna miaka tunapotezana, mwaka 2021 tukaonana...
Ipo hivii kumekuwa na utofauti mkubwa Sana wa madaraja ya wanaume kutokana wanawake wanavyo tutofautisha.
Ili mwanamke akusifie kwamba wewe ni mwanaume mzuri na unafaa kuanzisha naye mahusiano...
Kuna Huu msemo Kuwa "the miserable love company" Miserable Ni Hali ya Kuwa Na huzuni, masononeko Na ugumu wa Maisha" Kwa kifupi Misery Ni kinyume cha furaha.
Sasa company Ni Ile Hali ya Kuwa Na...
Nlianza na huu utaratibu baada ya kugundua kumbe tunapofanya mapenzi na mademu nao wanasikia utamu sana tu.
Miaka ya nyuma nlidhani ni sisi tu wanaume...nlipoanza kugegedana na nikapata uzoefu...
Aah Salamu kitu gani bana! Iko hivi, nipo Dar hapa , nina mpenzi yupo Mkoa wa Mara border,
Huyu manzi sasa nina mwezi nae tangu tujuane. Lakini kabla sijakutana nae, nilikua na manzi mwingine...
Wakuu hizi ndoa hizi zina mambo!
Iko hivi,
Jana mida ya saa nne usiku , nilingia gheto toka kwenye harakat za mapamabano ya maisha , nikapumzika kwanza kwa sebule nikipiga stori na mwandani wangu...
Unaowa mwanamke mzuri unamwaga pesa kumshawishi, unampendezesha, unamfungulia biashara na kumweka kwenye nyumba ya kifahari, unajenga hadi ukweni kutafuta sifa
Alafu unakuta huyo mwanamke ana...
Habari za adhuhuri wapendwa.
Leo napenda kushare nanyi jambo moja.
Kwa kawaida wanaume wengi linapokuja suala la kutafuta mwenzi wa maisha huwa tunapenda wanawake wapole na wastaarabu sana...
Ndugu zangu wanasemaga usilolijua ni kama usiku wa Giza ni Kweli
Mimi ni mmoja ya watu ambao walikuwa hawaamini saana ushirikana kama upo katika mapenzi
Ukweli ni kwamba ushirikana upo Tena saana...
Kuna jamaa yangu mmoja alikuja kunipa changamoto yake kwenye mahusiano; anasema kuna mrembo mmoja amempenda, na huyo mrembo anafanya kazi za ndani kwa tajiri mmoja.
Huyo rafiki yangu alimfahamu...
Habari wana JamiiForums!
Poleni na hongereni kwa utafutaji wenu, Mungu abariki kazi za mikono yenu.
Kama kichwa kinavyojieleza pale juu, naomba usome uzi wangu, na mwisho unaweza nishauri...
Hello members?, I'm 28. I'm looking for a partner/ girlfriend. I'm looking to be in an emotionally committed relationship. I'm not looking for “the one” or marriage, but I also am not looking for...
Ebu tuache kubuni vitu visivyokuwepo, ivi ni kweli kabisa huyu mdada mzuri kiasi hiki anaishi?. Basi kama ni kweli maisha anayopitia niyakero sana maana kila hatua mbili Gari zitagongana kila mtu...